Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
- Thread starter
- #41
Utamu wa mkakasi huoaisee kazi kweli kweli alianza kwa kucheka akaishia kulia
Utamu wa mkakasi huoaisee kazi kweli kweli alianza kwa kucheka akaishia kulia
Mkuu ina maana hulioni kweli?mbona silion ilo lichu**
Sasa analilia kitu gani hapo?Masister duu wana mbwembwe sijapata kuona.
Utamu wa mkakasi huo
mwonekano wako tu unanikosha sijui umepotelea wapi wewe hata anga za cc huonekani?
tuelekezane ulipo
Nipo ndugu yangu, majukumu tu ndiyo yanatupoteza kwa muda. Salama lakini?
salama na buheri wa afya njea sijiui wewe bestito