Kisa cha Ashura wa Kahama

Kisa cha Ashura wa Kahama

hapo penye red umepatia aisee ,natamani PM zao nizione moderator

hahaaa!! unataka PM zangu na miss neddy?

njoo usome.. mi niko chumba namba 190! juu kabisa nakuona unavyosubiri kutongozwa!! hahahaa!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mashaxizo (dogo una jina la ajabu kweli! dah.. teh!) huyu mweupe anafanyiwa ubazazi na madem... sijui kama unaweza kuirudisha hiyo kauli kinyume?! nadhani umenielewa eenh?

Hahahahahaaaa!
Huyo kijana hana matatizo hata kidogo!
Mimi na yeye (sote) ni Marasi!!!
 
Last edited by a moderator:
teh teh..una tamani ningekua hata x wako ee?..pole sana.mi natoa angalizo kwa mdogo wangu miss neddy,ajue kabisa anacheza na bazazi
wacha nirudi zangu parokiani..

ila tuache bifu mama, leo umependeza sana!! nani kakudizainia hio gauni?
 
nimeisoma sana hii stori nikaendelea kuisoma sana sana
na kukazia macho mpaka jicho moja nimelifunga ili nione vizuri
lakini wapi bado sijaielewa vizuri hii stori tena kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa! Mr Rocky bado unamshupalia Mentor?
...
Unajua karely kwenye hoja ya miss neddyinayohitaji ushahidi wa kutosha ili kuproof huo ubazazi wake. Hii naifananisha na zile kesi za Mahakamani ambazo mtuhumiwa huachwa huru kwa kukosekana ushahidi unaotesheleza/unaokubalika huku raia wakibwata na kusema Hakimu kapewa hongo! Ukumbuke, kuachiwa kwa mtuhumiwa sometimes haimanishi hakufanya tukio bali ni kukosekana kwa ushahidi tu!
...
Huo mfano unareflect na kesi ya Mentor ambae hafanyi ubazazi wa wazi kama wafanyavyo wengine!
Mr Rocky umenielewa hapo?
...
Sasa wewe miss neddy unaushahidi gani kama Mentor sio bazazi?
Kwanini unamwita shemeji yeye hataki ushemeji huo?
...
Mentor haujajibu swali langu kuhusu uPM moderator! teh teh teh!

Mkuu Mashaxizo nakupata sana aise na tunapambana sana naissue kama hizo kuwa mshtakiwa ameachiliwa kwa ajili ya kukosekana kwa ushahidi wakati tukio zima hata kuonekana kulitenda alionekana ila ushahidi wa kumtia hatiani unakosekana

Ni wapi hapo nilipoanguka!??

Kaka yangu Mentor kuna kifungu kwenye Bible kinasema kumbuo handu uleoloka na uuye na ko mndumii utubu na hapa nakupa mtihani mkuu

Mr Rocky huhitaji hata kuwatilia mashaka hao watu Excel na Mentor wako confirmed,sema chama chao kama Freemanson huwa hawatakiwi kujitambulisha ila matando yao ndo kipimo chao cc miss neddy

hawa mkuu mwekundu ni waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba wala haina haja ya kutumia nguvu kubwa kutaka waproove chochote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom