Kisa cha Ashura wa Kahama

Kisa cha Ashura wa Kahama

Mashaxizo unakubaliana na utetezi wa miss neddy kuwa Mentor sio bazazi
Unajua walikutana angle gani mpaka wanatoleana utetezi kama huo
\Hebu chunguza basi usikubali kubali tuu Excel una kesi ya kujibu hebu kuja faster pande hizi ujitetee kabla sijakifuta cheo chako na kukubandika cheo kingine fasta

Mr Rocky mentor sio bazazi since tulikutana engo ya escape ndo niligundua hilo wanamsingizia kwa sababu ya kuwa karibu na mabazazi so wanadhani kaaambukizwa kumbe nj msafi pure kama maji ya bahari si unajua huwezi kuchafua majj ya bahari
 
Last edited by a moderator:

miss neddy duh Mentor hapa anatetewa ili tuu aondolewe kwenye list ya #teambazazi
Basi kwa hisani ya watu wa JF na sio marekani tunamwondoa kwa muda kwenye #teambazazi wakati uchunguzi juu yake ukiendelea
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa! Mr Rocky bado unamshupalia Mentor?
...
Unajua karely kwenye hoja ya miss neddyinayohitaji ushahidi wa kutosha ili kuproof huo ubazazi wake. Hii naifananisha na zile kesi za Mahakamani ambazo mtuhumiwa huachwa huru kwa kukosekana ushahidi unaotesheleza/unaokubalika huku raia wakibwata na kusema Hakimu kapewa hongo! Ukumbuke, kuachiwa kwa mtuhumiwa sometimes haimanishi hakufanya tukio bali ni kukosekana kwa ushahidi tu!
...
Huo mfano unareflect na kesi ya Mentor ambae hafanyi ubazazi wa wazi kama wafanyavyo wengine!
Mr Rocky umenielewa hapo?
...
Sasa wewe miss neddy unaushahidi gani kama Mentor sio bazazi?
Kwanini unamwita shemeji yeye hataki ushemeji huo?
...
Mentor haujajibu swali langu kuhusu uPM moderator! teh teh teh!

hahahahahhaaha mentor ni shemeji yangu kwa mwallu bwana ushahidi upo sema mpaka ikitokea hoja nzito ntaumwaga hapa hapa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa! Mr Rocky bado unamshupalia Mentor?
...
Unajua karely kwenye hoja ya miss neddyinayohitaji ushahidi wa kutosha ili kuproof huo ubazazi wake. Hii naifananisha na zile kesi za Mahakamani ambazo mtuhumiwa huachwa huru kwa kukosekana ushahidi unaotesheleza/unaokubalika huku raia wakibwata na kusema Hakimu kapewa hongo! Ukumbuke, kuachiwa kwa mtuhumiwa sometimes haimanishi hakufanya tukio bali ni kukosekana kwa ushahidi tu!
...
Huo mfano unareflect na kesi ya Mentor ambae hafanyi ubazazi wa wazi kama wafanyavyo wengine!
Mr Rocky umenielewa hapo?
...
Sasa wewe miss neddy unaushahidi gani kama Mentor sio bazazi?
Kwanini unamwita shemeji yeye hataki ushemeji huo?
...
Mentor haujajibu swali langu kuhusu uPM moderator! teh teh teh!

hahahahahhaaha mentor ni shemeji yangu kwa mwallu bwana ushahidi upo sema mpaka ikitokea hoja nzito ntaumwaga hapa hapa
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mentor sio bazazi since tulikutana engo ya escape ndo niligundua hilo wanamsingizia kwa sababu ya kuwa karibu na mabazazi so wanadhani kaaambukizwa kumbe nj msafi pure kama maji ya bahari si unajua huwezi kuchafua majj ya bahari

Hapa nacheka tu! (hahahahahaaaaa....!)
hahahahahhaaha mentor ni shemeji yangu kwa mwallu bwana ushahidi upo sema mpaka ikitokea hoja nzito ntaumwaga hapa hapa

Aaagh!!!! Hapo tu ndio unaharibu!
Istoshe pana kauchokozi kidogo!
Afu kama unarudi pale paleeee.... na kushibitisha ubazazi wa Mentor badala ya kumtetea ndio unamkandamiza!
Mwache Afande Mentor apumue!

hewalaaaaa iundwe tume huru hapa

Duh!
Conflict of law or conflict of fact? Teh teh teh!
...
Kaka Mentor itabidi jina lisafishwe kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Wadada tena mhhh miss neddy hapo nakataa kabisa
atawpa rushwa wote na watakuja hapa na taarifa ya kumsafisha Mentor kuwa yuko safi Dark City anafaa kabisa may be na AshaDii

nani kasema kwenye masuala muhimu kama haya ya kuleta change wanawake watapenda kupindisha katiba ya mmu kisa rushwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom