Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
RB Number ndio sahihi kabisa. Unasema nina RB Number na sio nina RB.
hizo fomu zinatumika kutunzia kumbukumbu za kipolisi,hata hiyo report Book (RB) - yaani kitabu cha taarifa nayo ni fomu ya polisi yaan PF 162
RB Number ndio sahihi kabisa. Unasema nina RB Number na sio nina RB.
ni kweli.......kwenye bluu imezuiliwa Juu na Chini...........kwa mana hiyo kuna police form no1 and 2?(PF1 and PF2) Na Zinahusu nini?
Wana UD vp hampo hapo maana ni wapenzi wa RB mnapoishiwa boom sorry mkuu ila sisi RB tunaitambua kama Rice Beans kiswaz wali maharage ni chakula kinachopendwa sana na wanafunzi pale wanapoishiwa boom maana ni sh 800/ tu Tsh