Kirefu cha ''RB'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kirefu cha ''RB''

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JAYJAY, Aug 24, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,307
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wandugu!
  Kuna jamaa kaniuliza swali kuwa RB ile ambayo mtu akiripoti tukio polisi huwa anapewa kirefu chake ni nini? Sikuwa na uhakika na jibu langu lakini nilijibu nadhani itakuwa ''Report Book'' ila sina uhakika. Mwenye kufahamu kwa uhakika naomba anisaidie.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  hilo swali lako peleka jukwaa la lugha utasaidiwa
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  acha mkwara! Kama unajua si umjibu! Kwani ikishaingia jukwaa la lugha, ndo utakumbuka jibu!
   
 4. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 574
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Umepatia kirefu chake ni "report book"
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sawasa ndio kirefu chake haujakosea
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hili swali alina uhusiano na jukwaa la lugha
   
 7. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,307
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  akhsanteni wakuu!
   
 8. K

  Karry JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  yah ni report book
   
 9. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #9
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  me nadhani ingeitwa report paper(rp) ama sijui maana ya book niambie tafadhali muokoe jahazi
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,852
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Na call out ina maana sawa na hii RB?
  .
   
 11. samito

  samito JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na ile ya m2 akipata ajali inaitwa PF3 kirefu chake nini?
   
 12. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hata mimi nikuwa sijui nashukuru kwa kutuelewesha.
   
 13. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,331
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Police Form no. 3
   
 14. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 916
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  kwa mana hiyo kuna police form no1 and 2?(PF1 and PF2) Na Zinahusu nini?
   
 15. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hizo fomu zinatumika kutunzia kumbukumbu za kipolisi,hata hiyo report Book (RB) - yaani kitabu cha taarifa nayo ni fomu ya polisi yaan PF 162
   
 16. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,130
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  kijana utakuwa njagu nini?
   
 17. m

  mikogo Senior Member

  #17
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  RB- report book
  PF3- Police Form No 3.
  kuna forms za taarifa ya kupotelewa mali,forms za kuomba kufanya ukaguzi nk
   
 18. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mpendwa,

  najua shida yako ni kwa sababu ukipewa hiyo inayoitwa RB huwa unapewa kikaratasi hivi tena saa nyingine kidogo kimechanwa tu kwenye daftari la kuandikia!

  kuna fomu maalum za RB kama alivyosema WAMURUBHERE hapo juu ila nadhani ni kutokana na uhaba wa stationeries tu huko kwenye vituo vya polisi ndio maana saa nyingine wanachana vikaratasi kutoka kwenye madaftari na kuandika hizo RB.

  practically ukitoa taarifa inayoingizwa kwenye report book, hupewa kikaratasi fulani chenye reference number ya hiyo taarifa kwenye hiyo report book. kimsingi unapokwenda kumchukulia mtu RB polisi humaanisha unakwenda kutoa taarifa na utarudi na reference number yako ya hiyo taarifa kama uthibitisho kuwa tukio husika limeripotiwa polisi na itakayosaidia kufanya rejea ya kiupelelezi pindi mshitakiwa/mtuhumia anapokamatwa na kutiwa chini ya ulinzi wa pilisi.

  kwa hiyo ingeweza pia kusemwa kuwa naenda kumchukulia RB number na ingekuwa sawasawa kabisa. ila kusema report paper (RP) si sahihi

   
 19. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,798
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  PF1 na PF2 je?
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,336
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Na RSM ni nini?
   
Loading...