makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Huyu ndo atakuwa kippi mwenyewe .Wewe ni mmoja wa mareject katika uumbaji wa mungu.

Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa?
Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu?
Na nyie watu wa Tume wa Mikocheni nilipojiandikisha kwenye BVR, inakuwaje mmempatia mtu mwingine details zangu bila ruhusa yangu?
Huku mchezo huu ukiwa unaendelea, nawaomba sana TCRA hebu mwiteni KIPPI Warioba na mumuhoji ni kwanini anawatumia watu msg bila ya ridhaa yao? Na kama mtataka ushahidi mimi ni mmoja wa watu tutakaojitokeza na ushahidi wa hizo sms zake anazozituma.
Mpaka mtu wa CCM kuweza kupewa details za mpiga/Wapiga kura, je bado tuendelee kuamini kwamba hoi tume ya uchaguzi ni huru?
Message unakuja na jina bila kuwa amesave kwenye phone book yake...Mkuu,yaani ume sevu kabisa namba take Hugo juha
Unatafuta kiki tu
hii imekuja namba 0718537676
Ni mimi "EDWARD LOWASSA" kwa heshima na taadhima naomba kura yako ya URAIS ili nipate kwenda IKULU kupambana tupate kuijenga TANZANIA.TANZANIA ni yetu na watu ni wetu tunataka safari ya uhakika , kumbuka kura yako ndio nauli ya kunipeleka IKULU tuma ujumbe huu kwa makamanda 50 PEOPLE'S POWER!!!!!!!!!!!,
Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa?
Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu?
Na nyie watu wa Tume wa Mikocheni nilipojiandikisha kwenye BVR, inakuwaje mmempatia mtu mwingine details zangu bila ruhusa yangu?
Huku mchezo huu ukiwa unaendelea, nawaomba sana TCRA hebu mwiteni KIPPI Warioba na mumuhoji ni kwanini anawatumia watu msg bila ya ridhaa yao? Na kama mtataka ushahidi mimi ni mmoja wa watu tutakaojitokeza na ushahidi wa hizo sms zake anazozituma.
Mpaka mtu wa CCM kuweza kupewa details za mpiga/Wapiga kura, je bado tuendelee kuamini kwamba hoi tume ya uchaguzi ni huru?
Mi mwenyewe nimepata hizo sms ,Cjui kapate namba zetu. Hi si sawa
View attachment 293759 Na hii ni sms yake nyingine Mbwa huyu!
Mpuuzi first class wewe.Ongea na mobile operator wako. Masharti ulioyo sign wakati unachukua simu yanaruhusu matangazo. Hata wewe ukitaka peleka tangazo lako, walipe wanalisukuma tu. Mimi nimejiandikisha kinondoni lakini nimepata pia. Na ni ujumbe mzuri of course, jione mwenye bahati kupata ujumbe huu.