mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,909
- 18,551
Ongea na mobile operator wako. Masharti ulioyo sign wakati unachukua simu yanaruhusu matangazo. Hata wewe ukitaka peleka tangazo lako, walipe wanalisukuma tu. Mimi nimejiandikisha kinondoni lakini nimepata pia. Na ni ujumbe mzuri of course, jione mwenye bahati kupata ujumbe huu.
Ni ujumbe mzuri kwako kwetu wengine ni sawa na kinyesi!