Kippi Warioba jiheshimu

Kippi Warioba jiheshimu

Kuwa profile watu kwa location ni rahisi sana kwenye digital world. Mfano ukichukua mnara unaotumika mara kwa mara na mtu hasa wakati wa usiku. Ni rahisi kujua huyo mtu analala hapo na pengine anaishi hapo.

Unataka kusema wahusika ni makampuni ya simu?
 
Cha kufanya wewe mpigie kura tuone atayafanya hayo?? si kang'ang'ania.... mtoto kalilia wembe we mpe tu umkate
 
Hivi huyo Kippi ni mwanaume au mwanamke? Samahani nauliza tu sijawahi kujua hilo. Km ni mwanaume nitamshangaa sana kwenda kupambana na Mdee badala ya kupamvana na wanaume wenzake!
 
Back
Top Bottom