Kippi Warioba jiheshimu

Kippi Warioba jiheshimu

Hii ni hatari sana,hata mimi nimetumiwa ujumbe,nawasiliana na wanasheria ili nifungue kesi ya kuingiliwa privacy!
Hii ni wiki ya pili tunatumiwa hizo msg mimi na mke wangu,

tumeamua tusimpeleke mahakamani tutamhukumu trh 25 mwezi huu.
 
Hatari hatari hatari......maandalizi ya goli la mkono yapo mbioni kukamilika
 
Hakuna tatizo lolote juu ya upokeaji au utumwaji wa ujumbe huo. Kama.unakerwa nao kaa kimya....
 
Vijana wa upawa naona wamepanic sana, ni.matusi tu mliyofundishwa na mbowe na lema
 
Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa?

Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu?


Na nyie watu wa Tume wa Mikocheni nilipojiandikisha kwenye BVR, inakuwaje mmempatia mtu mwingine details zangu bila ruhusa yangu?

Huku mchezo huu ukiwa unaendelea, nawaomba sana TCRA hebu mwiteni KIPPI Warioba na mumuhoji ni kwanini anawatumia watu msg bila ya ridhaa yao? Na kama mtataka ushahidi mimi ni mmoja wa watu tutakaojitokeza na ushahidi wa hizo sms zake anazozituma.

Mpaka mtu wa CCM kuweza kupewa details za mpiga/Wapiga kura, je bado tuendelee kuamini kwamba hoi tume ya uchaguzi ni huru?

Mi mwenyewe nimepata hizo sms ,Cjui kapate namba zetu. Hi si sawa

View attachment 293758Hii ni moja za sms ambayo amenitumia muda huu.
Nasema Akome. Anachotakiwa kukifanya kwasasa ni kuandaa mawakili wa kumtetea dingi wake pindi Ukawa ikiingia madarakani juu ya wizi wake kupitia kampuni ya Meremeta. Asidhani Watanzania ni mazuzu na kwamba tunasahau kirahisi kihivyo!

Wakezenu ndo wametoa hizo namba...msimlaumu jamaa
 
Kiukweli nimesikitishwa na malalamiko yako na tuhuma zako dhidi ya tume na Kwa kippi Warioba hivi kwanza tuhuma za dhidi ya tume ya uchaguzi kuhusu kutoa hizo namba swali je ukiitwa utoe ushahidi kama kweli tume imetoa namba hizo utaweza thibitisha? hebu tufike mahala tuiheshimu tume maana hizi tuhuma ambazo huwezi thibitisha kiukweli unaikosea sana tume ya uchaguzi
 
we mtoa post ni mjinga kweli hivi kutumiwa text ndo unalazimishwa umchague? mbona unakuwa mpumbavu kias kile
 
kwanza sheria huijui inajulikana wazi kwamba mawasiliano ya mtu binafsi hayawezi kutolewa bila ridha yake mwenyewe sasa naona unakuja na maada amabayo ni weak kuliko maelezo unaanza kulalama bila hoja za msingi hii yote unaonekana unatafuta kiki kwenye mitandao na umarufu wa kijinga kajipanga upya mdau
 
Kama kapata namba zenu na anawatumia meseji. Basi anauwezo wa kusoma meseji zetu hadi za watsapp.
 
MJIBUNI KIHUNI NA KUMKATISHA TAMAA

ATAACHA TU...

Tena mlipueni kwelikweli
 
Hebu acheni utoto maana busara hukujenga na itakufanya kuwa mtu mwenye heshima kazi yako ni moja ukipata sms kama hiyo na haujapendezewa siunafuta? kwani kunatatizo gani mbona tunapokea sms nyingi toka sehemu mbali mbali lakini hatulalamiki iweje hii iweni tatizo kwako kwangu mimi nimeona ni hoja ya kitoto ambayo umeileta hapa pia nami naomba TCRA wakuite wewe wakuhoji kuhusu tuhuma ulizo zitoa dhidi ya tume maana huo ni uchochezi wakijinga katika mchakato huu kuihusisha moja kwa moja tume ya uchaguzi kuwa inatoa details za watu na tuhuma hii ni kubwa sana dhidi ya tume kiukweli tume inatakiwa ikuchukulie hatua maana siyo jambo dogo kama mnavyoliona watu kama hawa wanatakiwa wakathibitishe mahakamani kuhusu ukweli wa tuhuma hizo
 
we mtoa post ni mjinga kweli hivi kutumiwa text ndo unalazimishwa umchague? mbona unakuwa mpumbavu kias kile

Mapovu hayataweza kuiondolea tume tuhuma , kwanini kippi anawajua wapiga kura wa kawe ambao taarifa zao zipo tume ? Mbona mimi mpiga kura wa kajunjumele kyela hakunitumia ? Lazima wahusika watajane na wakamatwe .
 
Nadhan pia utakuwa una matatizo hivi unadhan tume ndo huwa inatoa namba za watu? je wewe una umhimu gani kwa tume mpaka wawe na namba yako au ndo kuchanganyikiwa huko acha kuwa na akili ndogo
 
Ongea na mobile operator wako. Masharti ulioyo sign wakati unachukua simu yanaruhusu matangazo. Hata wewe ukitaka peleka tangazo lako, walipe wanalisukuma tu. Mimi nimejiandikisha kinondoni lakini nimepata pia. Na ni ujumbe mzuri of course, jione mwenye bahati kupata ujumbe huu.

Hayo sio matangazo. Za kuambiwa changanya na zako.
 
hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha mikocheni ambayo ipo jimbo la kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa?

Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu?


Na nyie watu wa tume wa mikocheni nilipojiandikisha kwenye bvr, inakuwaje mmempatia mtu mwingine details zangu bila ruhusa yangu?

Huku mchezo huu ukiwa unaendelea, nawaomba sana tcra hebu mwiteni kippi warioba na mumuhoji ni kwanini anawatumia watu msg bila ya ridhaa yao? Na kama mtataka ushahidi mimi ni mmoja wa watu tutakaojitokeza na ushahidi wa hizo sms zake anazozituma.

Mpaka mtu wa ccm kuweza kupewa details za mpiga/wapiga kura, je bado tuendelee kuamini kwamba hoi tume ya uchaguzi ni huru?



kwani kipi cha ajabu hapo?????? Mambo ya kawaida sana katika chaguzi, na najaribu kupitia maandiko yako sijapata na wala sioni kitu cha maana sana zaidi ya malalamiko yasiyo na msingi madhubuti.
Unalalamika kwani kippi amekulazimisha ukampigie kura ya ndio?????? Kwani amesema kuwa atakuja kukushika mkono october 25 ukampigie kura kwa lazma???? Ukipata majibu funga domo lako na hakikisha unaandika mambo ya msingi zaidi ya kelele hizi zisizo za maana.
 
Napata mashaka dhidi ya ufikili wako na uwezo wako kiakili ndipo ninapo unganisha matukio kati ya wewe na Mnyika kuhusu tuhuma zake kutaka vyama vya siasa kupeleka wataalamu wake kuchunguza mfumo ule na huyo huyo mnyika akiwataka waangalizi wa kimataifa kupeleka wataalamu wao kwenye tume kuchunguza mfumo hu ndivyo hivyo hata wewe nadhani sheria za tume katika uchaguzi hauzijui maana mnaituhumu tume kwasababu mnakuwa mnawasiwasi kuwa ushindi ni mgumu kwenu kuweni na busara siasa siyo ugomvi kabisa bali ni uvumilivu unatakiwa kusikia na usiyo yapenda kuyasikia hivyo huo ni ujinga na kutokujua umhimu wako kama kijana au mzee kuwa ni lazima usikilize sera za watu tofauti tofauti na mwisho wake ufanye maamzi yako tarehe 25 kuweni na busara tuhuma za kitoto hizo maana ulimwengu wasasa kuipata namba ya mtu ni kitu kidogo
 
Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa?

Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu?


Na nyie watu wa Tume wa Mikocheni nilipojiandikisha kwenye BVR, inakuwaje mmempatia mtu mwingine details zangu bila ruhusa yangu?

Huku mchezo huu ukiwa unaendelea, nawaomba sana TCRA hebu mwiteni KIPPI Warioba na mumuhoji ni kwanini anawatumia watu msg bila ya ridhaa yao? Na kama mtataka ushahidi mimi ni mmoja wa watu tutakaojitokeza na ushahidi wa hizo sms zake anazozituma.

Mpaka mtu wa CCM kuweza kupewa details za mpiga/Wapiga kura, je bado tuendelee kuamini kwamba hoi tume ya uchaguzi ni huru?

Mkuu nakuomba kabisa kesho nenda kamfungulie kesi tutakuwa pamoja kabisa maana hao ndio mchezo wao na ili kuukomesha ni vema wakaburuzwa kwa pilato
 
Back
Top Bottom