Kippi Warioba jiheshimu

Kippi Warioba jiheshimu

sisi ni wanasheria hii kitu tunaanza nayo hata kwa kujitolea ili iwe fundisho kwa macc wengine

wewe kenge kweli, naomba kifungu kitakachoshikilia hiyo kesi, provide the articl to level against the allegation
 
Kippi yupo sahihi na kama mtu hataki sms ajitoe asitumie mobile network ya aina yoyote tz.hizo ndiyo siasa na huko ndipo tunapoenda na haimaanishi ukitumiwa sms uoneshe hasira au chuki ni kusoma na kuelewa sera dhabiti ili umchague kiongozi madhubuti na si vinginevyo.Huu utaratibu ni mzuri sana na nashauri na wagombea wengine wautumie ili kujinadi kwa urahisi na kuwafikia wananchi wengi majumbani
 
wewe kenge kweli, naomba kifungu kitakachoshikilia hiyo kesi, provide the articl to level against the allegation

Endelea kuijaza album yangu ili ni deal na vilaza kama nyinyi
 
Kippi yupo sahihi na kama mtu hataki sms ajitoe asitumie mobile network ya aina yoyote tz.hizo ndiyo siasa na huko ndipo tunapoenda na haimaanishi ukitumiwa sms uoneshe hasira au chuki ni kusoma na kuelewa sera dhabiti ili umchague kiongozi madhubuti na si vinginevyo.Huu utaratibu ni mzuri sana na nashauri na wagombea wengine wautumie ili kujinadi kwa urahisi na kuwafikia wananchi wengi majumbani

Wakati wabunge wenu wa ccm wanapitisha sheria kandamizi bungeni mlikuwa mnakenua na hamkujua nini kinapitishwa
 
kippi warioba yupo sahihi kabisa, kama umekereka kajinyonge, kanywe sumu au nenda mahakamani ukashatki vimeo nyie.
 
amtumie babake warioba aliyekengeuka kwa sabab ya ubunge wa mwanaye
 
Maendeleo siku zote yanaenda na vitu kama hivi.nashangaa mtu wa aina yeyote unae kaa na kutukana na nadhani utakuwa hujui tafasiri ya maendeleo,na ukumbuke kwenye maendeleo ya nyanja zote hakuna siku ukafurahishwa na kila kitu
 
wewe mpumbavu wa wapi?

wewe mpumbavu wa kawe unasemaje, takataka wewe!! Unamsapoti msagaji mdee, alafu wewe nawe msagaji na shoga kama mwanaume. Siargue na mashoga&wasagaji kama wewe.
 
Baada tu ya zile tafiti zilizoonyesha Mr. Push up anaongoza; nilitumiwa yale matoke kwenye line ya tigo. Ila yale yalionyesha Lowassa anaongoza sukutumiwa. Nikapiga tigo customer care, mtoa huduma akaniambiwa wao hawausiki. Wazi wazi nikawambia wasinitumie tena text ya aina yeyote.
 
wewe mpumbavu wa kawe unasemaje, takataka wewe!! Unamsapoti msagaji mdee, alafu wewe nawe msagaji na shoga kama mwanaume. Siargue na mashoga&wasagaji kama wewe.

Huyo mdee amekusaga hadi umuite msagaji?
 
hata afanyaje kura ni ukawa, tangu lini ccm wakatekeleza walicho ahidi?
 
Nategemea tume itachukua hatua za haraka pindi ikizipata hizi taarifa
 
Duh, kwa hasira hizi, hawa jamaa wanaweza sema mabango yake yang'olewe!
 
Tunaongea saaana kumbe Vilaza tu! Kama hamjui matangazo ya SMS yanavyofanya kazi, ulizeni sio kubwabwaja tu.
 
Ongea na mobile operator wako. Masharti ulioyo sign wakati unachukua simu yanaruhusu matangazo. Hata wewe ukitaka peleka tangazo lako, walipe wanalisukuma tu. Mimi nimejiandikisha kinondoni lakini nimepata pia. Na ni ujumbe mzuri of course, jione mwenye bahati kupata ujumbe huu.

Ingekuwa Tanzania nzima tunapata hizo msgs hapo sawa, lakini swali ni kivipi wamepata namba ya mpiga kura specifically wa eneo hilo. Mbona sie wengine hatupati hizo messages? Hapo kunatakiwa maelezo.
 
KWA NINI ASIKODISHE MAGARI YA PROMOTION YAPITE MTAANI KUTANGAZIA WATU.HUYO HAJIELEWI KWA KWELI.NA AKOME NA TABIA ZA KIK HIZO..........AU AENDE TBCCM WAMTANGAZIE.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::msela:
 
Back
Top Bottom