Kiporo kipi kitamu zaidi?

Kiporo kipi kitamu zaidi?

Wali kuku
20191128_090853.jpeg
 
Ningeshangaa kama nisingekuta wali na kisamvu.😋

Halafu nimegundua, wanawake mnapenda sana kula😀😀
Mimi binafsi yangu napenda kula uongo dhambi nile chakula nienjooooyy hata nsipotoka out i don't care sana😉😀
 
Nimesoma maelezo yake btn lines nimegundua kaandika kutoka moyoni. Mtu anaye enjoy chakula to that extent lazima awe kibonge tu.
Uko sahihi kabisaa mimi one of ma' hobby ni KULA nile chakula kizuri ndio maana napenda kupika saaana...am not fat but I've little bit fat😉😉

Karibu confessor food&BBQ..
 
Back
Top Bottom