We pia ulikuwa humzuii??!!!!!!!!!!!!alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...
mfumo dume kuna watu wanauchukulia for granted hv ukimvunja mkeo ala nanihii mnafanyeje? Hyo ndo mijamaa inayowalazmisha wake zao kupita uhani maana halina huruma ati..hv ukimchoka si wamuacha?
bora huyo mimi kangekua kashengo kwelikweli au lushengo jumla...
We pia ulikuwa humzuii??!!!!!!!!!!!!
kwanza ktk kikao hatokuwepo bado amelazwa moi naskia mguu unagoma kuunga...bahati yake
alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...
tobah...khaa!!ulikua unatumia kifaa gani kumtwangia???
husninyo hata huyo wife dadaake na mkaka hapa naona ana mawazo kama yako...na ndo maana kavumilia mateso kwa muda wote huo...
Cha kufanya wewe mtu akikuharibia either payback or stay away coz ni wachache sana waweza jutia makosa waliyotenda na kutorudia tena...kumfuga kwa kusema ubaya haulipwi kwa ubaya utaokotwa uvunguni ushaanza kunuka
hakuna mwenye haki ya kupigwa. Kama jamaa anaendelea na kichapo kwanini uendelee kung'ang'ania? Ina maana hata ndugu walishindwa kumsaidia kabla mambo hayajaribika?
Wewe na huyo shemeji yako mna akili sawa za kipuuzi,shemeji yako kaona dili saana kumpiga mkewe,ama kweli huyo shemejiyo ni mpuuzi na mjinga. Na wewe dada yako kesha yaona maisha ya kupigwa na mumewe ni namna yake ndo maana kavumilia,wewe kilichokufanya uingilie ni nini mpuuzi wewe baadala ya kuamua ugomvi! Nyie wote watatu hamnazo,dada yako anayepigwa daily na bado yupo,mumewe anayempiga mkewe na wewe uliyeingilia hiyo ndoa ya mabondia.ngrrrr!!!