Kipindi - Maisha na Teknohama – Sheria Mtandao ( Jumapili Hii )

Status
Not open for further replies.

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Kipindi - Maisha na Teknohama – Sheria Mtandao ( Jumapili Hii )
Ndugu zangu
Napenda kuwakaribisha katika kusikiliza Kipindi cha Maisha na Teknohama Jumapili hii kuanzia Saa 3 Asubuhi mpaka saa 4 Ambapo Mgeni atakuwa ni Mwanasheria Wa Tume Ya mawasiliano Tanzania TCRA ( Adam Mambi ) Pamoja na Yona Maro wa UMF .
Unaweza kusikiliza kupitia 105.3 FM au Hope Channel Hope Radio: HOPE Channel | christliches Fernsehen und Radio Namba za simu ni 0756 677 677
Tutajadili masuala mbalimbali ya Teknohama na Sheria , kuangalia jinsi sheria mtandao zinavyoweza kuleta Faida kwa Nchi na kwa wananchi wake wote katika shuguli zao za kila siku hata katika kuvutia wawekezaji kwenye masuala ya Teknohama .
Kama Hutoweza kushiriki kwa Sababu moja au nyingine kutakuwa na Nakala yake baada ya Kipindi hicho itawekwa kwenye Mtandao
Karibuni sana
 
Shy
Unaweza kuweka mchango na kuhimiza watu na Taasisi mbali mbali wasidhani Teknohama ni mambo ya komyuta na TOVUTI na internet

Ofisi na tasisi zijuewanaweka kuongeza utendaji wao kwa kutumia hata simu pekee.

  • Mfano ofisi kuwa na chombo cha kurekodi simu zinazopigwa na wateja au wadau na hivyo kuwafanya wapokeaji waiswe wazembe au kutoa majibu ya ajabu.
Otheriwise Kazi njema kuendeleza libeneke
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom