MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji
Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
Watu makini wanaona anayoyafanya,hatummiss MLAKI

Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee.....
.......................
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
Mkuu wa Wilaya amefanya nini?
Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni ......
...............Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!
Hata sisi kwetu Boko hatujawahi kumwona mbunge wetu. Inatuuma sana aisee! Diwani wa Bunju ndo amegeuka kuwa diwani na mbunge wetu..... Nasikitika sana jembe langu limetutelekeza namna hii....
Huyo ni mbunge tu wa kajimbo kama kawe ndo hivo .kazi yake kwenda kutwanga umbea salaoon kinondoni .
Mungu mkubwa hawakupewa nchi sijui tungetokea wapi
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji
Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji
Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
dah.... kumbe wabunge wana kazi nyingi sana....
Ingekuwa siyo kuogopa BAN ningekwambia wewe mpumbavu ila kwa kuwa humu kuna ban basi sitakwambia neno hilo. hivi toka uhuru hilo li CCM lenu limefanya nini?
Gombea basi wewe tukupe. We unataka mbunge ashugulikie kila kitu? hao wabunge wengine wamefanya nini? Magamba mna shida sana,, hizo pesa za jimbo waulize magamba wenzio maana wao ndo wanajua ziko wapi,,, wala usimlaumu Mdee. Na aliyekutuma mwambie huku JF tuko vizuri magorofani hatujadili hoja zisizo na mshiko. Huwezi anza kumlaumu mbunge wakati bado ana miaka miwili na ushee. Haya zile ahada 77 za mheshimiwa sana mbona huuliziii? kuna meli ngapi zimeshatengenezwa? Je kigoma imekuwa kama Dubai? Reli je? Nakushauri ukiwa bored badala ya kupost vitu kama hivi ingia hapa www.theudaku.blogspot.com:A S-coffee:
tahiraunafiki wa ccm 2. Chadema vichwa bwana
CDM wakishikwa huwa mbogo na kutanguliza matusi badala ya kujibu hoja iliyo mbele yao
Nafikiri wewe ndo MPUUZI TENA JINGA LISILOJUA KUFIKIRIA. Mi niko JImbo la Kawe nilichofanya ni kumkumbusha tu mleta mada kuwa si kila kitu ni lazima mbunge afanye na nimesema tumpe muda bado ana zaidi ya miaka miwili. Mbona JK hatumsumbui na ahadi zake 77? Je kuna meli mpya zimekuja? Kigoma imekuwa kama Dubai? Reli mpya imejengwa? Unaonekana mkono unaenda kinywani kwa kushabikia magamba endelea ivo ivoPUUZI LA CHADEMA WEWE...............yani humu JF Ukitaka kutukanwa au kukejeliwa basi mseme mtu wa chadema....mtu amesema kinachotokea jimboni kwake....we unakandia, wewe na wenzako wenye akili kama yako ni wapuuzi tu...hamfai hata kidogo, isikute na jimboni kwako kuna tatzo kama hilo sema huwezi lalamika kisa mbunge wako ni chadema, ila angekuwa wa chama kingine...ushanyanyua domo kubwatuka kama kifaranga aliyeachwa na mamaye....mpunguze ushabiki wa kisiasa, wekeni uzalendo mbele wapuuzi wakubwa nyie,.......
Subiri 2015 ndo utauona ukweli. Hao wa CCM ambao hawaandamani wamefanya nini? Kumbuka kuwa majimbo mengi yenye wabunge wa upinzani si CHADEMA serikali ya magamba inayagandamiza ili wabunge waonekane hawafanyi kazi. CHADEMA si wabishi wala si kuwa hatusikilizi ushauri ila vinapokuja vitu visivo na mshiko ni lazima tuvikatae ofcourse kwa facts. Nilitegemea muulize kama tunapinga basi tuseme MDEE kafanya nini tangibleCHADEMA kubalini kupokea ushauri ili huyo mbunge wenu wa kawe aendelea kutawala..... badala ya kutukana ..tatizo lenu hamtaki kupokea ushauri kwa mambo yanayohusu chama chenu..mnajiona muda wote mko sawa... ukweli uko wazi mdee hakuna alichokifanya hadi muda huu zaidi ya kupiga kelele bungeni kwa mambo ya jumla jumla tu..... mi nawambia ukweli 2015 wabunge wa upinzani hasa CHADEMA ni wa chache sana watakaorudi kuwa wabunge .... ushauri pokeeni ushauri huu haitajiki hata laki tano kwenda kufanya mkutano na wananchi kwenye maeneo ya wananchi wenye matatizo , yani kufanya mkutano kusikiliza kelo za wananchi nalo linahitaji ela za CCM???.AU USAIDIWE NA SERIKALI???. JITAZAMENI UPYA CHADEMA WENZENU WANATEKELEZA AHADI NINY MNAENDELEE NA MAANDAMANO SASA SIJUI 2015 MTASEMA TULIFANYA MAANDAMANO 100 AU TUMEJENGA ZAHANATI..KAZI MNAYO