Kipindi kigumu jimboni Kawe

Watu wanakimbilia ubunge kutafuta riziki na kutengeneza maisha yao.wadanganyika wasioelewa wanakimbilia kutoa kura.
 
hapana mkuu ni bora ange kuwa anafanya hata mikutano ya hadhara jimboni mwake kama wenzake wanapotoka bungeni tu inasaidia sana kuepusha maneno kama haya

Mkuu usikubali kusombwa na mafuriko ya siasa za maji ya chooni toka magamba.
Halima amekuwa anakutana na wananchi wa jimbo lake tangu bunge lilipomalizika. Mathalani wiki hii yote alikuwa na ratiba ya kukutana na wapigakura wake ofisini kwake kinondoni.
Lakini pia amekuwa akifanya mikutano mingi na wananchi huko mitaani, hata weekend hii ana mikutano kadhaa huko huko madale, mabwepande, chasimba na maeneo ya jirani.
Hawa magamba wanamzushia Halima ili kuhalalisha posho zao za kila siku.
 
mbona BOKO, CHASIMBA, MADALE na kwingine anafanya mikutano. yaani unasema bodaboda, mabwepande, madale wavamizi wa maeneo ya watu mnataka awasaidie kufanya uharifu. fedha za mfuko wa jimbo waulize magamba wenzio ndo waling'ang'ania ziwepo. Umetumwa na magamba kuja kimchafua mdee. cc tunaona anafanya kazi sana huwezi kumcompare na Rita mlack.
 
nakuunga mkono 100% watu wengine kila kitu ni ushabiki kama simba na yanga,hapa tunaongea habari ya maendeleo kama hajafanya na akosolewe no matter ni cdm , ccm,cuf!
 


Ww una uhakika na usemacho au amekutuma uje kumkingia kifua humu jamvini ? na ww si mkazi wa kawe, sie tunao kaa kawe huyu dada hamna kitu na hatufai
 


Kazi anayo fanya labda nyingine ndio anaziweza, hii ya ubunge hamna kitu na hajafanya chochote. Aliye watuma mje mumtetee mwambieni akajipange upya
 
Mimi nakumbuka kauli ya DR SLAA kuwa majimbo ya upinzani lazima yawe tofauti na ya ccm kusema ukweli hicho kitu mimi bado sijakiona,mimi ni chadema damu na nilishawahi kuandika post hapa mkoa wa mwanza paking tu ya gari imependa toka 500 kwa kutwa hadi 900 chini ya cdm na sikupata jibu
 
Punguza JAZBA hoja ni kuhusu mbunge wetu usipende kuficha udhaifu wake kwa kuleta hoja isiyo na tija. Msaada kwake ni kupokea mawazo na kuyafanyia kazi kwa manufaa ya wakazi wa Kawe
We mpumbavu wa kupitiliza, kwani kazi na wajibu wa mbunge huzijui? Nenda kawaambie wabunge wakifisadi ambao huahidi kuwanunulia wali kwa nyama wapiga kura wao! Halima Mdee ni mbunge makini sana hayupo kushughurikia ujinga wako kama ulivyo uanika hapa, eboo!
 
Mkuu sasa unabore kilasiku thread zako ni Mnyika na Halima Mdee mbona huku kigamboni husemi acha unafiki una ujinga wa kitoto
 
Ww una uhakika na usemacho au amekutuma uje kumkingia kifua humu jamvini ? na ww si mkazi wa kawe, sie tunao kaa kawe huyu dada hamna kitu na hatufai
Wewe ni mtu wafitina na majungu tunakujua, hata siku moja huwezi kusema ukweli, hata kama ukimuona Mdee anahutubia mkutano wa hadhara wewe utakataa kuwa sie yeye!!1 Tuondokee na ushetwani wako hapa.
 
Umechoka kumuandama mnyika sasa umehamia kwa mdee.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Hakuna gamba lenye ubavu huo hakika nyie ndo hamtoamini kitakachowapata,mtafute kwa kukimbilia mafisadi wakubwa nyie mwambie na bwana wenu nepi amayewalipa kwa kupost utumbo wenu humu jukwaani.
 

Fungua tena Bible unipe mstari unaosema kuwa mbunge anawajibika kuwapa pole watu wa Mabwepande na kutatua tatizo la boda boda kwa ngazi ya mtaa.

Hivi ni lini wabunge (ktk mwaka wowote tangu uhuru) wamewahi kuwatembelea majumbani kwenu kuwapa pole mkifiwa? Mbunge anapigania haki yako katika utungaji sera, nyie mnataka aje kuwaona mkiugua amiba na matende ili tu aoneshe kuwa anawajali. So pathetic!

Kama hamfarijiki kwa mapigano yake bungeni na mnaaamini mkishikana naye mikono ndio tunasonga basi mchagueni mtawa, atakuwa na nafasi nzuri ya kufanya hivyo.
 

Subiri ifike 2015 na wewe ugombee
 

Kwa maajabu ya Tanzania na mfumo wake wa elimu, unaweza kuta mtu mwenye mawazo kama haya yako amemaliza chuo.

Parking ya gari anaamua mbunge kupanda au kushuka gharama yake?

Shida yetu hatufahamu mfumo wa maamuzi na utekelezaji katika maeneo yetu. Halmashauri zina nguvu ya kuamua hilo, sasa sijui juu ya nini hamzitumii kufanya maamuzi hayo. Kitu pekee anachoweza kufanya mbunge katika hilo ni kuwaomba madiwani wa chama chake waligomee hilo kwenye vikao vya halmashauri, Je, wapo wangapi katika halmashauri?
 
Gamba at work! Nenda kachukue fungu lako kwa Nape, kwa kazi nzuri, unayomfanyia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…