Majadiliano kati ya tcra na wenye kituo yalikuwa bado yanaendelea, nahisi hata hii adhabu haijatolewa na tcra moja kwa moja bali imependekezwa na clouds baada ya kujadiliana na tcra!
Ndo na mashoga wanapatikanaga kipindi Hiki hiki cha Take OneView attachment 411976
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa kituo cha Televisheni cha Clouds sambamba na kukifungia kwa miezi mitatu kipindi cha Take One kinachorushwa na Kituo hicho.
Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Method Mapunda amesema sababu ya kukifungia kipindi hicho ni kutokana na ukiukwaji wa kanuni za utangazaji za mwaka 2005, kwa kumhoji na kurusha kipindi cha mtu kinachohamasisha biashara ya ngono, kuingilia faragha ya mtu na kutolinda maadili ya watoto.
“Clouds tv inapaswa kukitathimini upya kipindi hicho kwa lengo la kupata njia bora ya kukiendesha na kupeleka mapendekezo TCRA kwa ajili ya kujiridhisha kabla ya kipindi hicho kufunguliwa,”alisema Mapunda.
Mahojiano yaliyopekea kipindi hicho kufungiwa ni kati ya mtangazaji wa kipindi hicho Zamaradi Mketema na Gift Stanford Maarufu kama ‘Gigy Money’ na yalirushwa Agost 09 saa 3.00 usiku na kurudiwa kesho yake saa 7.00
Kipindi sio kituoHiki kituo kinasifiwa sana na wakubwa zetu, inakuwaje mara kwa mara kinafungiwa?
well said mkuuYanayotokea, ikiwemo hili la Zamaradi na hiyo Clouds, yana uhusiano mkubwa na jamii yetu ilipofikia. I tell u yapo mambo ya hovyo kabisa yanafanywa na hata wenye madaraka ya kufungia hicho kipindi au ya kusimamia taasisi muhimu. Fuatilia katika nyanja zote sasa; iwe ni katika siasa, elimu, uchumi, nakadhalika. Kwamba unapoona, kwa mfano, Msajili wa vyama vya siasa anakaa kimya pale wanasiasa wanapozuiwa kufanya siasa, lakini akashirikiana na polisi kumrudishia Lipumba uenyekiti na kumpeleka ofisini kwa maandamano ambayo yamepigwa marufuku na polisi haohao, ujue jamii imeoza.
Tunaweza kufungia kipindi cha Zamaradi, lakini tusipojitathimini kama taifa kwa habari ya uadilifu, hili wala haliwezi kutusaidia. Leo wengi wetu tumechagua kushabikia uovu na uhuni. Viongozi wetu wanashiriki uhuni, sisi wenyewe tunashangilia uhuni! Media zinazoathiri mfumo wa maisha ya watoto wetu kuanzia lugha hata mavazi ndio zinavutia audience na ndizo hizo wakubwa wetu wenye mamlaka "wanazipaisha". Haya ya Giggy money na Zamaradi ni tone tu katika bahari ya kukosekana kwa maadili ambayo taifa linaogelea.....
maajabu..View attachment 411976
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa kituo cha Televisheni cha Clouds sambamba na kukifungia kwa miezi mitatu kipindi cha Take One kinachorushwa na Kituo hicho.
Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Method Mapunda amesema sababu ya kukifungia kipindi hicho ni kutokana na ukiukwaji wa kanuni za utangazaji za mwaka 2005, kwa kumhoji na kurusha kipindi cha mtu kinachohamasisha biashara ya ngono, kuingilia faragha ya mtu na kutolinda maadili ya watoto.
“Clouds tv inapaswa kukitathimini upya kipindi hicho kwa lengo la kupata njia bora ya kukiendesha na kupeleka mapendekezo TCRA kwa ajili ya kujiridhisha kabla ya kipindi hicho kufunguliwa,”alisema Mapunda.
Mahojiano yaliyopekea kipindi hicho kufungiwa ni kati ya mtangazaji wa kipindi hicho Zamaradi Mketema na Gift Stanford Maarufu kama ‘Gigy Money’ na yalirushwa Agost 09 saa 3.00 usiku na kurudiwa kesho yake saa 7.00
Hiki kituo kinasifiwa sana na wakubwa zetu, inakuwaje mara kwa mara kinafungiwa?
Zamaradi kwa vile kazaa na Ruge anajihisi hamna wa kumpangia maisha pale klauz anatukana wafanyakazi wenzie, anajisifia Ruge kamuweka mkononi ndo mana hata Joe Kusaga hawezi kumfukuza kazi.