Kipindi cha Take One cha Clouds Tv chafungiwa miezi mitatu

Kipindi cha Take One cha Clouds Tv chafungiwa miezi mitatu

Mi huwa nasema nchi yetu ndio maana hatuendelei sasa hivi kweli clouds ndio wapashaji habari wakuu wa rais na mkuu wa mkoa!!
Na wana pendwa kweli.
Redio ya maana kama Magic wanaifungia yote halafu clouds wanawafungia kama hawataki kuwachokoza vile

Shwain wakubwa hawa!
 
Hiii ndio Leo nimeiona Tz kuwa kipnd ndio kinafungua co kituo kufungiwa kurusha matangazo

[HASHTAG]#Awesome[/HASHTAG] #
 
Ivii wew huyo kaka ako majizo anakulipa nin
 
Sasa wamefumgia take one....zamaradi akianzisha kipindi kingine ..mfano 'Take zero' itakua nini?
 
Radio five ilifungiwa kabla ya kuhojiwa tena ni ndani ya siku 7. Leo Clouds imepita mwezi mzima kabisa ndio wanakuja kufungia kipindi?
Majadiliano kati ya tcra na wenye kituo yalikuwa bado yanaendelea, nahisi hata hii adhabu haijatolewa na tcra moja kwa moja bali imependekezwa na clouds baada ya kujadiliana na tcra!
 
Mi huwa nasema nchi yetu ndio maana hatuendelei sasa hivi kweli clouds ndio wapashaji habari wakuu wa rais na mkuu wa mkoa!!
Na wana pendwa kweli.
Redio ya maana kama Magic wanaifungia yote halafu clouds wanawafungia kama hawataki kuwachokoza vile

Shwain wakubwa hawa!
Kuna jamaa ameanzisha uzi wa kujichukulia sheria mkononi ameeleza jinsi kijana mmoja alivyouawa kinyama kwa kusingiziwa ni mwizi. Katika mchango wangu nimesema kwamba tabia ya watu kujichukulia sheria mkononi inachochewa na serikali. U-double standard kwenye utoaji haki umesababisha watu waone kushtaki polisi au kwenda mahakamani ni kupoteza muda kwa sababu hakuna haki huko hivyo wanajipa kazi ya uhakimu na upolisi kuamua kesi za kienyeji. Unakumbuka kesi ya yule RC Ditopile aliyemtwanga risasi dereva wa daladala? Alifungwa? Sheria zinafanya kazi kwa kubagua lakini watu wanaambiwa eti sheria inafuata mkondo au sheria ni msumeno! Watu wanaoelewa wanazidi kuichukia serikali. Kama waliifungia Magic Fm kwa sababu ya kipindi kimoja tu basi waifungie na clouds kwa sababu ya kipindi hicho tu.

TandaleOne upo hapo?
 
Tumeongea sana kuhusu hii radio!! Na hakunz hatua zinazochukuliwa. Kufungia kipind kimoja ndio nn??
Si unabadilisha jina?? Unaanza kukiita take 2 [emoji15][emoji15]

Kimsing wamefanya hvo ili kuturidhisha wananchi lakn kiukweli wametukela zaid.
Kuna kipindi kingine njiapanda kimeeushwa j2 mtu anasimulia alivyokua anaiba na jinsi alivyofsidika kwa ujambaz, yaan et wanafundisha watu waache ujambaz. Yaan hii radio ni balaaaaa!! Bora wangeicha tu tujue moja hiyo ni radio ya ccm hua haiguswi!!!
 
Kikubwa wadau tuipe kisogo hii media group maana wasanii ukiwa nao personal wanalalamika sana fiesta show kubwa ila wanalicholipwa ni aibu na ukikataa kufanya show ndo bas tena mziki wake unakufa huu ubabu talent ufelaz na uwingu imeumiza wengi Sana unakuta msanii jina kubwa afu hana kitu tusiwape nguvu wanyonyaji
 
Mi huwa nasema nchi yetu ndio maana hatuendelei sasa hivi kweli clouds ndio wapashaji habari wakuu wa rais na mkuu wa mkoa!!
Na wana pendwa kweli.
Redio ya maana kama Magic wanaifungia yote halafu clouds wanawafungia kama hawataki kuwachokoza vile

Shwain wakubwa hawa!
Serikali ina double standards
 
Majadiliano kati ya tcra na wenye kituo yalikuwa bado yanaendelea, nahisi hata hii adhabu haijatolewa na tcra moja kwa moja bali imependekezwa na clouds baada ya kujadiliana na tcra!
Hahahahaha
 
TCRAA: Hellow brother
RUGGY: Yes kijana habar yako.
TCRAA:Safi tu bosi wangu, nina shida bosi
RUGGY: Eeh...
TCRAA: Samahan kaka, kuna hiki kipind cha shemeji yetu hiki eeeh... eeh kuna wapuuz wanakilalamikia.
RUGGY: Hahahah hata mimi nimeona hahaha
TCRAA: Hahaha sasa tufanyaje bosi wangu
RUGGY: fanya kama unakifungia hivi ...
TCRAA: sawa bosi ila pia mnaweza mkaanzisha kingine cha take two, take zero hata take three...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
This is grt

Et kipind cha shemej yenu haaha
 
Kama wanakiuka maadili ni bora TCRA wafanye kazi yao. kosa walilofanya ni kurudia kipindi saa moja asubuhi
 
Take one and actiiiiiiiiiiiiiiiiiiiion
 
Hivi hii TV na Redio si ile ambayo mtukufu anaipenda sana au????
 
Back
Top Bottom