kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Ila ninachojua ni kwamba ukishindwa kutimiza ahadi"unajiuzulu ".
Wahuni raia feki tumesha washitukia hadi mkuu wa majeshi katoa onyo kwenu mnatetemeka ovyo[emoji16]we ndio binadamu feki, bwege kweli
Umeme wa Sasa utatosha ila mkae mkijua kwamba bwawa la Nyerere linawashwa hatua Kwa hatua Hadi 2025 ndio mashine zote 9 zitakuwa zimetosha.Kumbuka chawa Dewji alisema hata stiglaz ikianza kazi bado umeme hautatosha kwa sababu watanzania wengi ndani ya miaka mitatu ya mama wamenunua vifaa vingi vya umeme (friji, TV, pasi, majiko ya umeme, pump za kujaza mafuta nk.) na pia wamejenga nyumba nyingi zilizounganishwa na umeme. Huo wa kuuza SA utatoka wapi sasa.....
Ni usanii na uongo mtupu..Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya kulazimishwa na mtu yeyote. Anayeshindwa kutekeleza ahadi yake mwenyewe, huyo amekosa nidhamu kwa nafsi yake mwenyewe.
Tukumbushane: Rais Samia na Serikali yake iliwaahidi Watanzania kuwa tatizo la umeme linaishia mwezi January 2024, na kwamba neema ya upatikanaji umeme wakati wote, umeme wa uhakika itaanza mwezi February 2024, kwa sababu mlango mmoja wa bwawa la Mwalimu Nyerere utafunguliwa. Akaongeza kuwa ziada kubwa ya umeme itapatikana kuanzia mwezi March 2024 watakapofungua mlango wa pili wa bwawa la Mwalimu Nyerere.
Leo ndiyo tarehe 1 mwezi February 2024, na kwa ahadi ya Rais na Serikali yake ndiyo tumeingia mwanzo wa kipindi cha neema kitakachotufanya tuyakumbuke masuala ya mgao wa umeme kuwa historia.
Naomba tupeane taarifa juu ya upatikanaji wa umeme kwa nchi nzima kuanzia leo, kupitia uzi huu ili tujue kuwa Rais wetu ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu au la. Na kisha apongezwe kwa kutokomeza tatizo sugu la umeme au tumlaani kwa kutudanganya.
Tutambue kuwa yeyote anayefifisha au anayeshindwa kulihakikishia umeme wa uhakika Taifa, analiangamuza Taifa. Maendeleo ya nyanja zote yanategemea uwepo wa nishati ya uhakika ya umeme.
Nadhani ahadi imeanza kutimia ile kero ya kukatikakatika hovyo imeanza kutoka maeneo yetu sasa umeme umeanza kupatikana kwa uhakika..Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya kulazimishwa na mtu yeyote. Anayeshindwa kutekeleza ahadi yake mwenyewe, huyo amekosa nidhamu kwa nafsi yake mwenyewe.
Tukumbushane: Rais Samia na Serikali yake iliwaahidi Watanzania kuwa tatizo la umeme linaishia mwezi January 2024, na kwamba neema ya upatikanaji umeme wakati wote, umeme wa uhakika itaanza mwezi February 2024, kwa sababu mlango mmoja wa bwawa la Mwalimu Nyerere utafunguliwa. Akaongeza kuwa ziada kubwa ya umeme itapatikana kuanzia mwezi March 2024 watakapofungua mlango wa pili wa bwawa la Mwalimu Nyerere.
Leo ndiyo tarehe 1 mwezi February 2024, na kwa ahadi ya Rais na Serikali yake ndiyo tumeingia mwanzo wa kipindi cha neema kitakachotufanya tuyakumbuke masuala ya mgao wa umeme kuwa historia.
Naomba tupeane taarifa juu ya upatikanaji wa umeme kwa nchi nzima kuanzia leo, kupitia uzi huu ili tujue kuwa Rais wetu ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu au la. Na kisha apongezwe kwa kutokomeza tatizo sugu la umeme au tumlaani kwa kutudanganya.
Tutambue kuwa yeyote anayefifisha au anayeshindwa kulihakikishia umeme wa uhakika Taifa, analiangamuza Taifa. Maendeleo ya nyanja zote yanategemea uwepo wa nishati ya uhakika ya umeme.
Kwani SGR uliambiwa inaaza liniKatika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya kulazimishwa na mtu yeyote. Anayeshindwa kutekeleza ahadi yake mwenyewe, huyo amekosa nidhamu kwa nafsi yake mwenyewe.
Tukumbushane: Rais Samia na Serikali yake iliwaahidi Watanzania kuwa tatizo la umeme linaishia mwezi January 2024, na kwamba neema ya upatikanaji umeme wakati wote, umeme wa uhakika itaanza mwezi February 2024, kwa sababu mlango mmoja wa bwawa la Mwalimu Nyerere utafunguliwa. Akaongeza kuwa ziada kubwa ya umeme itapatikana kuanzia mwezi March 2024 watakapofungua mlango wa pili wa bwawa la Mwalimu Nyerere.
Leo ndiyo tarehe 1 mwezi February 2024, na kwa ahadi ya Rais na Serikali yake ndiyo tumeingia mwanzo wa kipindi cha neema kitakachotufanya tuyakumbuke masuala ya mgao wa umeme kuwa historia.
Naomba tupeane taarifa juu ya upatikanaji wa umeme kwa nchi nzima kuanzia leo, kupitia uzi huu ili tujue kuwa Rais wetu ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu au la. Na kisha apongezwe kwa kutokomeza tatizo sugu la umeme au tumlaani kwa kutudanganya.
Tutambue kuwa yeyote anayefifisha au anayeshindwa kulihakikishia umeme wa uhakika Taifa, analiangamuza Taifa. Maendeleo ya nyanja zote yanategemea uwepo wa nishati ya uhakika ya umeme.
Hivi kweli tuliwaza yote hayo wakati wa ndoto ya sgr🤣Fikiria mpo katikati ya msitu na SGR, halafu umeme hakuna kwa masaa 12! Baada ya hapo sidhani utapanda tena SGR. Utaona aheri upande basi.
Ila sasa kwa akili zetu za kutafuna boti tunalosafiria,huenda panya og zina noa meno,kwanza zimikereni kwa kuachwa porini saa 24.Halafu zinakuja na ufumbuzi kama zile za iptl na dowasns🤣Hivi kweli tuliwaza yote hayo wakati wa ndoto ya sgr🤣
Badala ya kutoka adharani na kumwambia wananchi nini kimekwamisha utekelezaji, wanawatuma akina Lucas Mwashambwa jf kutoa ufafanuzi.Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya kulazimishwa na mtu yeyote. Anayeshindwa kutekeleza ahadi yake mwenyewe, huyo amekosa nidhamu kwa nafsi yake mwenyewe.
Tukumbushane: Rais Samia na Serikali yake iliwaahidi Watanzania kuwa tatizo la umeme linaishia mwezi January 2024, na kwamba neema ya upatikanaji umeme wakati wote, umeme wa uhakika itaanza mwezi February 2024, kwa sababu mlango mmoja wa bwawa la Mwalimu Nyerere utafunguliwa. Akaongeza kuwa ziada kubwa ya umeme itapatikana kuanzia mwezi March 2024 watakapofungua mlango wa pili wa bwawa la Mwalimu Nyerere.
Leo ndiyo tarehe 1 mwezi February 2024, na kwa ahadi ya Rais na Serikali yake ndiyo tumeingia mwanzo wa kipindi cha neema kitakachotufanya tuyakumbuke masuala ya mgao wa umeme kuwa historia.
Naomba tupeane taarifa juu ya upatikanaji wa umeme kwa nchi nzima kuanzia leo, kupitia uzi huu ili tujue kuwa Rais wetu ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu au la. Na kisha apongezwe kwa kutokomeza tatizo sugu la umeme au tumlaani kwa kutudanganya.
Tutambue kuwa yeyote anayefifisha au anayeshindwa kulihakikishia umeme wa uhakika Taifa, analiangamuza Taifa. Maendeleo ya nyanja zote yanategemea uwepo wa nishati ya uhakika ya umeme.
Tutafutieni nafasi ya Mwashambwa hapo ccm wajameni😅Ukitafakari, yawezekana waongo wote Duniani wameamua kuweka makao yao makuu ndani ya CCM na Serikali yake.
Hawa bwana ni waongo waliobobea katika hila na kila aina ya ulaghai.
Mmemsahau Lucas Mwashambwa😃Waluiluwi kama ChoiceVariable wapo bize kupambania legacy uchwara hawana hili wala lile kwenye maendeleo. Wao wakipewa ahadi wanacheza sebene hata kama ni ahadi hewa
Huyo ni probox kiwango cha maxMmemsahau Lucas Mwashambwa😃