Kipindi cha Neema Ya Umeme Kimeanza Leo, Tupeane Taarifa

Jana nilipita jimboni kwa Bashe, kulikuwa hakuna umeme. Wananchi walikuwa wakilalamika kuwa Bashe anahangaika kujaza mabango ya yake na Rais mitaani badala ya kushugulikia tatizo la umeme, maana karibia kila siku mchana hakuna umeme, wanaletewa umeme usiku.
Raia feki bashe ana jaza mabango ya raia feki samia huku zungu anachekelea meno yote yapo nje ...naye bwana rostam azizi akizidi kusomba tu pesa za serikali na kujimilikisha
 
chama cha mambuzi toka lini wakawa wa kweli. hayo ni mashetani ya kuzimu yanasubiri parapanda yakaungue kwenye ziwa la moto milele
 
Uganda na bwawa la Kakono ,umeme ni 💯

Pia Rukwa hakuna mgao umeme wa zesco kutoka Zambia ni 💯
Wewe si umesema unapoishi mnatumia umeme wa Zambia, ndio nimekuuliza Kagera mnatumia umeme wa Zambia? Acha kurukaruka jobu maswali
 
Na Mimi ndio nakwambia tunatumia umeme wa Zambia Rukwa na Uganda Kagera hakuna kukatika katika
 
Sijui, watajua watakaokuwa hai maana 2040 siyo karibu.
Hawajui kwamba watu tunazo kumbukumbu, wanaposema SGR itaanza January 2024......sisi kumbukumbu tulizonazo ingetakiwa ianze November 2019, kwa hiyo sishangai ukitaja mwaka 2040.
 
Ndo kusaidiwa kwenyewe huko, vipi wakikataa kukuuzia.
Wakatae kwani hawataki pesa? Wana umeme wa ziada ukatae Ili iwaje?

Wewe Kwa akili Yako unadhani umeme wote wa bwawa la Nyerere Tzn tutautumia kwa.pamoja? Ndio kwanza mwaka huu uungaji wa grid Kati ya Kenya na Tzn unakamikika hivyo tunaweza wauzia Kenya au tunaweza safirisha umeme wa Ethiopia kuja Tzn au Hadi South Africa.

Ndani ya miaka 10 ijayo hakuna Nchi ya Afrika itakuwa na shida ya umeme Kwa sababu grid interconnectivity itatatua shida hiyo.

Nchi Zenye umeme mwingi kama Ethiopia,DR Congo zitaunga humo na watauza.
 
Hawajui kwamba watu tunazo kumbukumbu, wanaposema SGR itaanza January 2024......sisi kumbukumbu tulizonazo ingetakiwa ianze November 2019, kwa hiyo sishangai ukitaja mwaka 2040.
Rais amesema Sgr ianze kabla ya July,Kauli ya Rais ndio ceiling achana na hao chawa Wengine
 
Na Mimi ndio nakwambia tunatumia umeme wa Zambia Rukwa na Uganda Kagera hakuna kukatika katika
Hivi unatumia akili kupambanua mambo mkuu? Acha kusifia ujinga, nchi ipo gizani, viwanda na nyumba hazina umeme, upo unajisifu kutumia umeme wa majirani huko mpakani.

Hakuna anayetaka serikali ishindwe, tunataka maendeleo ila kwa namna ccm wanavyoongoza nchi mnazidi kututhibitishia kuwa tupo dunia ya tatu hivyo mambo kama umeme, maji nk bado ni anasa.
 
Wakatae kwani hawataki pesa? Wana umeme wa ziada ukatae Ili iwaje?

Wewe Kwa akili Yako unadhani umeme wote wa bwawa la Nyerere Tzn tutautumia kwa.pamoja? Ndio kwanza mwaka huu uungaji wa grid Kati ya Kenya na Tzn unakamikika hivyo tunaweza wauzia Kenya au tunaweza safirisha umeme wa Ethiopia kuja Tzn au Hadi South Africa.

Ndani ya miaka 10 ijayo hakuna Nchi ya Afrika itakuwa na shida ya umeme Kwa sababu grid interconnectivity itatatua shida hiyo.

Nchi Zenye umeme mwingi kama Ethiopia,DR Congo zitaunga humo na watauza.
Ule umeme ambao hangaya alisema atawauzia South Africa uko wapi.....au zilikuwa sound tu kutafuta kiki kwa Ramaphosa.
 
we una kiherehere tunakujua, alikutajia tarehe? Subiri mwezi uishe. Au unawashwa na nini.
Nchi hii kuna shida sana. Aina ya watu kama wewe ni tatizo kubwa.

Ninyi ndio hata ile mitihani ya Kiswahili ya darasa la 4, bila shaka mliputa kwa kurudia rudia sana. Haya, ebu eleza utofauti wa tungo hizi tatu:

1) Kufika mwezi February, tatizo la umeme litakuwa limeisha.

2) Tatizo la umeme litaisha ndani ya mwezi February.

3) Kufikia mwishoni mwa mwezi February, tatizo la umeme litakuwa limekwisha.

NB. Rais alitumia tungo ya kwanza.
 
Jana nilipita jimboni kwa Bashe, kulikuwa hakuna umeme. Wananchi walikuwa wakilalamika kuwa Bashe anahangaika kujaza mabango ya yake na Rais mitaani badala ya kushugulikia tatizo la umeme, maana karibia kila siku mchana hakuna umeme, wanaletewa umeme usiku.
Nilikuwa sijui kwamba Bashe ni wa Waziri wa Nishati na Madini.😅😅 No pun intended.I know you are still expanding mentally.
 
Hivi unatumia akili kupambanua mambo mkuu? Acha kusifia ujinga, nchi ipo gizani, viwanda na nyumba hazina umeme, upo unajisifu kutumia umeme wa majirani huko mpakani.

Hakuna anayetaka serikali ishindwe, tunataka maendeleo ila kwa namna ccm wanavyoongoza nchi mnazidi kututhibitishia kuwa tupo dunia ya tatu hivyo mambo kama umeme, maji nk bado ni anasa.
Nchi ipi ambayo Iko gizani? Punguza ujinga wewe jamaa.

Kwa hiyo Nchi Iko gizani kisa upungufu wa megawatt 145 au?

View: https://www.instagram.com/reel/C2zKBfItKrG/?igsh=MXFlNmE0YzVzejAyZg==

Kama Nchi Iko gizani mbona Viwanda havijafungwa au shughuli zinaendelea mtaani?
 
Back
Top Bottom