Kipindi cha Neema Ya Umeme Kimeanza Leo, Tupeane Taarifa

Kipindi cha Neema Ya Umeme Kimeanza Leo, Tupeane Taarifa

Ebu tujulishe huko uliko kama tayari mgao wa umeme imekuwa ni jambo la historia kama Rais wetu Samia na Serikali yake walivyowatangazia wananchi.
Usiwe mjinga,sio Kila Mkoa Kuna mgao wa umeme,Mkoa niliko Mimi tunatumia umeme wa Zambia hakuna kitu inaitwa mgao.
 
Hadi leo wameshindwa kuelezea shida ya umeme hasa ni nini, sababu zimekuwa zibadilika badilika tu sasa ndio utaamini ahadi ya kumalizika shida ya umeme?
 
Usiwe mjinga,sio Kila Mkoa Kuna mgao wa umeme,Mkoa niliko Mimi tunatumia umeme wa Zambia hakuna kitu inaitwa mgao.

Wewe bila shaka huna uwezo hata wa kuelewa mada yoyote. Hivi ni nani alitekuambia kuwa mkoa wako hakuna umeme? Mada imesema ueleze status ya umeme kwenye eneo lako. Wewe unakuja na vioja. Ungekuwa na akili japo kidogo, ungechangia kwa kusema kuwa wewe mkoani kwako, ungeutaja huo mkoa, hakujawahi kuwa na mgao wa umeme wakati wowote.

Hizi elimu za kujua tu Kusoma, Kuhesabu na Kuandika, ni shida kweli!! JF ilianzishwa kwaajili ya watu wenye elimu na uwezo wa akili ya kwenda mbele zaidi ya hiyo KKK, ambayo bila shaka ndiyo uliyo nayo wewe.

Jibidishe uelimike, kama tatizo ni elimu. Kama tatizo ni akili, hapo hakuna msaada maana akili mwanadamu huzaliwa nayo, huwezi kuipata shuleni.

Bila shaka kutokana na uwezo mdogo wa kichwani unakuja na jibu la swali ambalo hujaulizwa.
 
Wewe bila shaja huna uwezo hata wa kuelewa mada yoyote. Hivi ni nani alitekuambia kuwa mkoa wako hakuna umeme? Mada imesema ueleze status ya umeme kwenye eneo lako. Wewe unakuja na vioja. Ungekuwa na akili japo kidogo, ungechangia kwa kusema kuwa wewe mkoani kwako, ungeutaja huo mkoa, hakujawahi kuwa na mgao wa umeme wakati wowote.

Hizi elimu za kujua tu Kusoma, Kuhesabu na Kuandika, ni shida kweli!! JF ilianzishwa kwaajili ya watu wenye elimu na uwezo wa akili ya kwenda mbele zaidi ya hiyo KKK, ambayo bila shaka ndiyo uliyo nayo. Jibidishe uelimike, kama tatizo ni elimu. Kama tatizo ni akili, hapo hakuna msaada maana akili mwanadamu huzaliwa nayo, huwezi kuipata shuleni.

Bila shaka kutokana na uwezo mdogo wa kichwani unakuja na jibu la swali ambalo hujaulizwa.
Usidhani Kila Mkoa Kuna mgao,punguza ujinga maana kuacha huwezi ni sehemu ya maisha Yako
 
Usidhani Kila Mkoa Kuna mgao,punguza ujinga maana kuacha huwezi ni sehemu ya maisha Yako
Nimekuambia kuwa mada hii ni kwaajili ya watu wenye akili timamu. Watu wenye uwezo wa kufanya analysis. Wewe haikuhusu.
 
Tukumbushane: Rais Samia na Serikali yake iliwaahidi Watanzania kuwa tatizo la umeme linaishia mwezi January 2024, na kwamba neema ya upatikanaji umeme wakati wote, umeme wa uhakika itaanza mwezi February 2024, kwa sababu mlango mmoja wa bwawa la Mwalimu Nyerere utafunguliwa. Akaongeza kuwa ziada kubwa ya umeme itapatikana kuanzia mwezi March 2024 watakapofungua mlango wa pili wa bwawa la Mwalimu Nyerere.
Wanasiasa si wakuaminiwa kiongozi, bora tukuamini wewe lakini siyo hao
 
IMG-20240202-WA0000.jpg
 
Fikiria mpo katikati ya msitu na SGR, halafu umeme hakuna kwa masaa 12! Baada ya hapo sidhani utapanda tena SGR. Utaona aheri upande basi.
SGR yenyewe tuliambiwa itaanza kazi Januari 2024 na Bwana Jafo akasema mwisho wa kupikia Nishati ya kuni ni Januari 2024!
Hawa viongozi wamechanganyikiwa,wanachoweza ni uwizi tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mwashambwa anajua sana jinsi Serikali hii ilivyojaa wababaishaji ila huwa anajitoa ufahamu ili mkono uende kinywani.

Huko aliko huenda sahizi umeme umekata, anahangaika kutafuta sehemu yenye kajenereta achaji simu yake. Ila kasimu kake kakipata tu chaji kidogo, atakuja hapa na yale maneno yake, "Rais wetu komandoo, chuma cha reli anahangaika usiku na mchana kuhakikisha nchi wakati wote inakuwa na umeme wa uhakika"!!
Hahahahaha mimi sio nabii ila jamaa lazma atakuja na mapambio humu kabla giza halijaingia kwamba mama did this mama that 😂
 
SGR yenyewe tuliambiwa itaanza kazi Januari 2024 na Bwana Jafo akasema mwisho wa kupikia Nishati ya kuni ni Januari 2024!
Hawa viongozi wamechanganyikiwa,wanachoweza ni uwizi tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hawa watu wamegeuza siasa na uongozi kuwa utapeli.
 
Usidhani Kila Mkoa Kuna mgao,punguza ujinga maana kuacha huwezi ni sehemu ya maisha Yako
Acha ngonjera, taja mkoa uliopo na tuambie kuwa huko hali ya umeme ikoje. Usilete uchawa wako kwenye issues sensitive kwa wananchi.
 
Huyo mwenyewe anaepokea hio tuzo kainama chini kwa aibu.😂😂😂

Ukweli usemwe tu Magufuli hakuwa empathetic kwa watumishi wazembe ila he was way better kiutendaji kuliko raisi aliyeko madarakani kwa sasa ambaye analea upumbavu na sio mfuatiliaji kabisa mamillion ya raia wanateseka huku aki favour kundi dogo la wezi na wahujumu uchumi.
 
Wewe bila shaka huna uwezo hata wa kuelewa mada yoyote. Hivi ni nani alitekuambia kuwa mkoa wako hakuna umeme? Mada imesema ueleze status ya umeme kwenye eneo lako. Wewe unakuja na vioja. Ungekuwa na akili japo kidogo, ungechangia kwa kusema kuwa wewe mkoani kwako, ungeutaja huo mkoa, hakujawahi kuwa na mgao wa umeme wakati wowote.

Hizi elimu za kujua tu Kusoma, Kuhesabu na Kuandika, ni shida kweli!! JF ilianzishwa kwaajili ya watu wenye elimu na uwezo wa akili ya kwenda mbele zaidi ya hiyo KKK, ambayo bila shaka ndiyo uliyo nayo wewe.

Jibidishe uelimike, kama tatizo ni elimu. Kama tatizo ni akili, hapo hakuna msaada maana akili mwanadamu huzaliwa nayo, huwezi kuipata shuleni.

Bila shaka kutokana na uwezo mdogo wa kichwani unakuja na jibu la swali ambalo hujaulizwa.
Mkuu kumjibu huyo Bwana ni sawa na kuangaika na Mwashambwa,kama anatumia umeme wa Zambia basi atakuwa Mkoa wa Rukwa au Katavi na wamepakana na Mkoa wa Songwe kwa akina Mwashambwa,hiyo Mikoa haina maendeleo ya maana,uko ni jembe kwa kwenda mbele.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya kulazimishwa na mtu yeyote. Anayeshindwa kutekeleza ahadi yake mwenyewe, huyo amekosa nidhamu kwa nafsi yake mwenyewe.

Tukumbushane: Rais Samia na Serikali yake iliwaahidi Watanzania kuwa tatizo la umeme linaishia mwezi January 2024, na kwamba neema ya upatikanaji umeme wakati wote, umeme wa uhakika itaanza mwezi February 2024, kwa sababu mlango mmoja wa bwawa la Mwalimu Nyerere utafunguliwa. Akaongeza kuwa ziada kubwa ya umeme itapatikana kuanzia mwezi March 2024 watakapofungua mlango wa pili wa bwawa la Mwalimu Nyerere.

Leo ndiyo tarehe 1 mwezi February 2024, na kwa ahadi ya Rais na Serikali yake ndiyo tumeingia mwanzo wa kipindi cha neema kitakachotufanya tuyakumbuke masuala ya mgao wa umeme kuwa historia.

Naomba tupeane taarifa juu ya upatikanaji wa umeme kwa nchi nzima kuanzia leo, kupitia uzi huu ili tujue kuwa Rais wetu ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu au la. Na kisha apongezwe kwa kutokomeza tatizo sugu la umeme au tumlaani kwa kutudanganya.

Tutambue kuwa yeyote anayefifisha au anayeshindwa kulihakikishia umeme wa uhakika Taifa, analiangamuza Taifa. Maendeleo ya nyanja zote yanategemea uwepo wa nishati ya uhakika ya umeme.
Mkuu, mambo yatakaa vzr tukikaribia kuanza kampeni za uchaguzi, hizi inshu ni hot cake, so zitatu boost sana wakati huo. Tukiyafanya sasa ivi yatachuja
 
Uganda na bwawa la Kakono ,umeme ni 💯

Pia Rukwa hakuna mgao umeme wa zesco kutoka Zambia ni 💯
Pamoja na kusaidiwa na uganda na zambia bado tunapumulia mashine na wewe kila siku upo humu kuimba mapambio, bure kabisa.
 
Back
Top Bottom