Kipindi Cha Mapishi TBC1

Kipindi Cha Mapishi TBC1

nyie mnataka maigizo kama yale ya c10 majiko ya gesi na umeme plate nane,watz wangapi wana kitchen cabinet????

mpishi anakwambia leo tunapika biryan masala,anataja mhitaji 12,kati ya hayo unachokijua ni mchele na chumvi tu,sasa hayo mapishi gani ya kujifunza!!!!🙄🙄🙄🙄

unajaribu kufatilia ujifunze kitu kipya unatoka kappa.
Kwahiyo kipindi bora cha mapishi Tanzania ni kile cha TBC1?
 
Back
Top Bottom