Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,809
- 40,562
Habari zenu?
Ni ghafla tu leo ndio nimegundua hiki kipindi kilichokuwa hewani kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 2 usiku hadi saa 5 usiku, hakipo kwa sasa pale Wasafi FM huku kukiwa hakuna taarifa zozote.
Wale wanyapiaji hiki kipindi imekuwaje tena?