GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,453
- 127,631
Qmmaqo
Mwongezee Lingine Mkuu! Shikamoo. At Least Siku Hizi Napata WARITHI WALIOTUKUKA.
Qmmaqo
Qmmaqo
Hahahahahaaa leo rafiki yangu Super Handsome kateleza,tumsamehe na tumpe onyo kali asirudie tena.Bangi MAARUFU Zinatoka TARIME, LONGIDO Na NJOMBE Je Mkuu Wewe Aina Yako Hii Ya Bangi UMEITOA Wapi Hapa Tanzania? Halafu Super Handsome Nitakuchenjia Japo Ni Rafiki Yangu Mzuri Kama Akina Nifah, Mussolin5 Na UncleBen Lakini NISIWE MNAFIKI au MWONGO Siku Hizi Hauko Vizuri KICHWANI Na Nahisi Kuna Tatizo LILILOTUKUKA LINAKUSIBU. Wewe Ukiwa Kama Member MWANDAMIZI Humu JF Nakupa Saa 3 Tu UTUOMBE RADHI WANA JF WOTE Halafu Kisha Utoe MAELEZO Ya KUTUKUKA Kwa Marafiki Zako Sisi Wanne Ya Kwanini Siku Hizi UMEKUWA FYATU Hivyo Na Usipofanya Hivyo Nakuapia NITAKUCHOKOZA Kama Kawaida Yangu Hadi UKASIRIKE Na ULIE. Halafu Cha Kushangaza Kuna Members Humu KILA KUKICHA WANASEMA Kuwa Mimi Natukana Na Huwa WANAJITOKEZA KIPOPOMA Kunilaumu Lakini Ktk TUSI HILI KUBWA NA LILILOTUKUKA Simwoni Hata Mmoja Hasa Hasa POPOMA Nifah Na Wengine Wengi Tu.
Lol! Jibu limejitosheleza. Hizo suti itabidi na mie nizisake jamani😉Hawara Mkuu Wa Mbunge Pekee Wa Upinzani Ambaye Siku Hizi Anavaa Suti Za Kikorea Aina Ya Chung Lai.
Wivu utakuua wewe...nawewe mtafute wako mkiss uone kama kuna atakayekufuatiliaMoja kwa moja naanza na hoja kuu, hivi ni kweli wamiliki wa radio clouds fm wanaruhusu mambo machafu yafanyike studioni wakati wa kipindi cha ala za roho kiendeshwacho na DIVA, siku chache zilizopita alimualika mshiriki wa BBA na mpenzi wake Wema sepetu na kuwaamuru wakiss ambapo wawili hapo hawakusita na kuanza ku####na denda live ambapo ni kinyume na maadili ya kitanzania. Video hizo sasa zimesambaa mitandaoni zikiwaonyesha wawili hao wakidendeka vya kutosha, Je ni mafunzo gani kwa vijana wetu?
Hahahahahaaa leo rafiki yangu Super Handsome kateleza,tumsamehe na tumpe onyo kali asirudie tena.
Ila nimefuatilia hili naona kachokozwa,tofauti na wewe kubwa la MAPOPOMA ambaye huwa unachokoza watu na majibu yako ya shombo + matusi.
Mbona muvi za kibongo wanadendeka na mnaangalia mkiwa na watoto wenu? Wacheni maneno bhanaMoja kwa moja naanza na hoja kuu, hivi ni kweli wamiliki wa radio clouds fm wanaruhusu mambo machafu yafanyike studioni wakati wa kipindi cha ala za roho kiendeshwacho na DIVA, siku chache zilizopita alimualika mshiriki wa BBA na mpenzi wake Wema sepetu na kuwaamuru wakiss ambapo wawili hapo hawakusita na kuanza ku####na denda live ambapo ni kinyume na maadili ya kitanzania. Video hizo sasa zimesambaa mitandaoni zikiwaonyesha wawili hao wakidendeka vya kutosha, Je ni mafunzo gani kwa vijana wetu?
Sasa watu walionaje hilo denda mkuu wakati ni redioni?Moja kwa moja naanza na hoja kuu, hivi ni kweli wamiliki wa radio clouds fm wanaruhusu mambo machafu yafanyike studioni wakati wa kipindi cha ala za roho kiendeshwacho na DIVA, siku chache zilizopita alimualika mshiriki wa BBA na mpenzi wake Wema sepetu na kuwaamuru wakiss ambapo wawili hapo hawakusita na kuanza ku####na denda live ambapo ni kinyume na maadili ya kitanzania. Video hizo sasa zimesambaa mitandaoni zikiwaonyesha wawili hao wakidendeka vya kutosha, Je ni mafunzo gani kwa vijana wetu?
umetumwa nini kuwa msemeji wa DIVA...kwani hukuona kupitia clouds TVKumbe watu wakisikiliza kipindi redioni wanaona na waendesha kipindi makubwa
Hadharani?!?!?!Kukiss si kinyume na maadili
Duuu!! umenikumbusha mbali sana, ni miaka kadhaa sas tokea nimeacha kusiliza na kutazama vyombo vya habari vilivyo chini ya CloudsMoja kwa moja naanza na hoja kuu, hivi ni kweli wamiliki wa radio clouds fm wanaruhusu mambo machafu yafanyike studioni wakati wa kipindi cha ala za roho kiendeshwacho na DIVA, siku chache zilizopita alimualika mshiriki wa BBA na mpenzi wake Wema sepetu na kuwaamuru wakiss ambapo wawili hapo hawakusita na kuanza ku####na denda live ambapo ni kinyume na maadili ya kitanzania. Video hizo sasa zimesambaa mitandaoni zikiwaonyesha wawili hao wakidendeka vya kutosha, Je ni mafunzo gani kwa vijana wetu?
Diva ndo Loveness loveHivi Diva ndio nani?