Kipindi cha Ala za Roho Clouds FM kinakiuka maadili

Kipindi cha Ala za Roho Clouds FM kinakiuka maadili

Hivi hao vijana wasiojua kupembua cha kujifunza katika zama hizi za utandawazi si wameshachanganyikiwa kwa wingi wa mambo ya kujifunza.
 
Moja kwa moja naanza na hoja kuu, hivi ni kweli wamiliki wa radio clouds fm wanaruhusu mambo machafu yafanyike studioni wakati wa kipindi cha ala za roho kiendeshwacho na DIVA, siku chache zilizopita alimualika mshiriki wa BBA na mpenzi wake Wema sepetu na kuwaamuru wakiss ambapo wawili hapo hawakusita na kuanza ku####na denda live ambapo ni kinyume na maadili ya kitanzania. Video hizo sasa zimesambaa mitandaoni zikiwaonyesha wawili hao wakidendeka vya kutosha, Je ni mafunzo gani kwa vijana wetu?
Tafuta wako na wewe ukisssss acha wivu
 
Mi kwangu stori yoyote toka tv na radio clouds ni ujinga samahan kwa ambao hizo ni sosi za habari zenu?????
Mkuu; upo kama mimi, clouds media kwangu siyo source makini ya kupata hbr za kuaminika. Hawa jamaa kwenye good news hawapo kabisa... Huko kwenye ekotite, lilwyne kuamshiwa ukunga, milkmill kuonekana na kanzu mitaa ya newyork kwao ndiyo hbr za kutwa nzima.
 
Umekechukizwa na kissing au kipindi?
Kama ni kissing then sema wasirudie hiyo tabia na kama ni kipindi basi weka mbali na radio yako maana kuna watu huo uuonao ujinga kwao ndio uelevu.
 
Clouds kuna tv au radio unadhani? Kile ni kikundi cha kufunza unyago na sisi wenye macho mbona tuliona mapema sana, ila kwakuwa kwenye kampeni ya uraisi uchaguzi uliopita walikuwa na upande hivyo wanaonewa haya huku wakiendelea kumomonyoa maadili ya jamii. Ngoja tuone itakuwaje.
 
Clouds, ni sawa sio kama! mnielewe hapo!, ofisi za ccm pale lumumba!, Wanafokonyolewa kandahal! hayo nillyashuhudia kwa macho! kipindi yule kilaza nape yuko pale!.
 
Kipindi bado kipo? Mara ya mwisho kusikiliza ilikuwa 2009.
 
Hawara Mkuu Wa Mbunge Pekee Wa Upinzani Ambaye Siku Hizi Anavaa Suti Za Kikorea Aina Ya Chung Lai.


Hivii, hujaacha bado ile tabia yako ya kuvombomboliwa! kandahal?(nyuma)?! masho.ga wenzako wameacha!
 
Hahaha wabatupia picha za uchi hujawaona ila denda ndo umeiona????
 
Back
Top Bottom