DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Moja kwa moja naanza na hoja kuu, hivi ni kweli wamiliki wa radio clouds fm wanaruhusu mambo machafu yafanyike studioni wakati wa kipindi cha ala za roho kiendeshwacho na DIVA, siku chache zilizopita alimualika mshiriki wa BBA na mpenzi wake Wema sepetu na kuwaamuru wakiss ambapo wawili hapo hawakusita na kuanza ku####na denda live ambapo ni kinyume na maadili ya kitanzania. Video hizo sasa zimesambaa mitandaoni zikiwaonyesha wawili hao wakidendeka vya kutosha, Je ni mafunzo gani kwa vijana wetu?