Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

Rafiki kuna mwanasaikolojia mmoja anaitwa Alfred Binet 1904, Binet was passionate about testing and measuring human IQ or Capabilities. Alikuja na formula yake ya namna ya kutambua akili ya mwanadamu. Yaani IQ= Mental age / Chronological age × 100.
Kwa mfano wewe una miaka 25 lakini kwa mwonekano na matendo yako hayafani na umri wako kabisa, yawezekana tunaokutazama matendo unayofanya ni matendo ya mtoto wa miaka 15. Sasa ili tujue uwezo wako kiakili tunatumia kanuni yetu ya IQ= Mental age/ Chronological age × 100.

Your IQ is : 100 × 44/ 25 = 60 This low IQ . tayari tunapata jibu kwamba sio kosa lako , Bali ni tahira. lakini huu ni mfano rafiki Si kweli wewe ni tahira.
nashkuru.. kumbe ni thought za mtaalamu
 
Nilitoa kama mfano Rafiki, nilikadiria kuwa yawezekana matendo yako hayaendani na umri wako wa miaka 25. Kwa kifupi rafiki IQ is a ratio of the mental age to the physical age multiplied by 100. The mental age was calculated on the basis of the average results in test in the respective age category .
Kama mambo yenyewe ni ya kukadiria hapo ni upotoshaji nilidhani unakitu kipya kumbe ubabaishaji tuu.
 
Kama mambo yenyewe ni ya kukadiria hapo ni upotoshaji nilidhani unakitu kipya kumbe ubabaishaji tuu.
IQ yako na wewe ni ndogo sana, inabidi kipimo kianzie kwako, nimefuatilia michango yako, nimesikitika sana, kumbe matahira wako wengi humu.
 
IQ yako na wewe ni ndogo sana, inabidi kipimo kianzie kwako, nimefuatilia michango yako, nimesikitika sana, kumbe matahira wako wengi humu.
mkuu hakukuwa na haja ya kumwambia Makuli maneno yote haya.

kumbuka IQ hupimwa kwa matendo, mawaidha ya mtu na maisha yake kiujumla!
 
IQ yako na wewe ni ndogo sana, inabidi kipimo kianzie kwako, nimefuatilia michango yako, nimesikitika sana, kumbe matahira wako wengi humu.
Mmmhhh ww ndo umepewa dhamana ya kugawa IQ...IQ zako fake hazikubaliki kawagawie familia yako tuu.
 
Mmmhhh ww ndo umepewa dhamana ya kugawa IQ...IQ zako fake hazikubaliki kawagawie familia yako tuu.
Hahahaha sasa Makuli wewe unataka nikwambie una IQ kubwa wakati kinyume chake?? Wewe una low IQ ova.
 
IQ ni upeo wa kuona kufikiri na kutoa majibu sahihi. Sio majibu ya darasani ya kukariri. Ni spiritual in nature so the higher the IQ the more intelligent a person is . The measurement start at 70 thus below this a person is considerd insane. Taahira. You can imagine Yesu alikuwa na ngapi achilia mbali akina Aristot. hao tunaowata maginius.
 
Hahahaha sasa Makuli wewe unataka nikwambie una IQ kubwa wakati kinyume chake?? Wewe una low IQ ova.
Kama IQ ingekuwa inatolewa kwa style hii ya kwako basi dunia nzima watu wangekuwa na low IQ.
 
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).

Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.

IQ=60
Mdau ana mtindio wa ubongo
 
Nadhani ulianza na jibu!
Labda unataka kujua kama tafsiri yako hii ni sahihi au la!
ila kama unaamini hivi, then kipimo cha akili lazima kije kuwa ni kutazama matokeo ya weledi na usahihi wa matendo ya mtu ukizingatia umri (rika) na other influences ktk jamii husika, ikiwemo level ya elimu ya muhusika; mila na desturi zao!!
Degree za usahihi ktk kutenda hilo jambo then ndio kitakuwa kipimo cha ubora wa akili ktk task/jambo husika!
Nimekutana na mtu na nataka kupima na kujua akili yake nitajuaje kwa usahihi zaidi?
 
Kama IQ ingekuwa inatolewa kwa style hii ya kwako basi dunia nzima watu wangekuwa na low IQ.
Hili la IQ niliwahi soma vitabu vya wanasaikolojia wanaelezea IQ sio kipimo sahihi cha akili ya mtu wanasema kinamapungufu mengi sana na kimebase kwenye assumption tu.
 
Nimekutana na mtu na nataka kupima na kujua akili yake nitajuaje kwa usahihi zaidi?
unapima kivipi?
ni sawa na kupima mimba!
wote tunaweza kujua kama mtu ana mimba au la, pale vitu obvious vinapoonekana, mfano kuwa na tumbo kubwa, kujaa mwili na kubadilika rangi natexture ya ngozi yake!
ila kama ni kitaalam Zaidi, then kuna madaktari wa kina mama watasema endapo dalili haziko obvious au kujua mambo mengine Zaidi ktk ujauzito!
nadhani kuna level ya akili inapimwa na wataalam, na ipo ile obvious tutakayopima mimi na wewe!
sidhani kama lengo lako lilikuwa ni kumpima mtu ambaye yuko relatively normal uweze kusema kama akili yake ikoje!
 
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).

Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
Kwahiyo mkuu kwa mchanganuo wako,inaonesha ndugu Rasadam anamtindio wa ubongo?
 
Hapa naomba ufafanuzi kidogo,,,huyo jamaa mwenye 25yr anafikiri kama mtu wa 15yr hesabu lake kwa kanuni yake anapata 60 ina mana ni taahira?
Ndio maana yake. Anza kufatilia comments zake toka sasa,pengine unaweza ukagundua kitu.
 
Back
Top Bottom