Kipimo sahihi cha akili ni kumcha Bwana na kujitenga na uovu. Ukimuona mtu ambaye anamcha Mungu na pia amejitenga na uovu ujue huyo ana akili nyingi sana. Aliye kinyume na huyo ndiye asiye na akili. Mkuu, umenipata???Ndio nini sasa hiki, mbona akiendani na mada husika, wakati mwingine mnakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Sijakupata, inakuaje kumcha Mungu kiwe kipimo cha akili?Kipimo sahihi cha akili ni kumcha Bwana na kujitenga na uovu. Ukimuona mtu ambaye anamcha Mungu na pia amejitenga na uovu ujue huyo ana akili nyingi sana. Aliye kinyume na huyo ndiye asiye na akili. Mkuu, umenipata???
Iyo 15 umeitoa wap!???Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).
Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wewe umepigajee hesabu mpaka upate hiyo 10? nahisi umekosea uwezi kupata 10 kumbuka ikiwa Chini ya 70 ina maana wewe ni unakili ndogo sana yaani tahira
mimi sjafahamu kweli rafiki, MATENDO yangu ntayajuaje? naomba unifanyie calculation plzRafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).
Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
ile 15 imetoka wap? na kw nini umeeka 15 badala ya 25?Kuelewa kutambua kujitambua na kifafanua
chronological age ntaijuaje?mimi sjafahamu kweli rafiki, MATENDO yangu ntayajuaje? naomba unifanyie calculation plz
Rafiki kuna mwanasaikolojia mmoja anaitwa Alfred Binet 1904, Binet was passionate about testing and measuring human IQ or Capabilities. Alikuja na formula yake ya namna ya kutambua akili ya mwanadamu. Yaani IQ= Mental age / Chronological age × 100.mimi sjafahamu kweli rafiki, MATENDO yangu ntayajuaje? naomba unifanyie calculation plz
Nilitoa kama mfano Rafiki, nilikadiria kuwa yawezekana matendo yako hayaendani na umri wako wa miaka 25. Kwa kifupi rafiki IQ is a ratio of the mental age to the physical age multiplied by 100. The mental age was calculated on the basis of the average results in test in the respective age category .ile 15 imetoka wap? na kw nini umeeka 15 badala ya 25?
Chronological age utajua kwa njia ya existing skills, knowledge and experience to solve problems by accessing information from long term memory , other hand relies on the ability to understand relationship between various concepts to solve the problem.chronological age ntaijuaje?