Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

Kipimo cha akili ni ule uwezo wa mtu kutafasiri na kuchambua taarifa mbali mbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaaluma yaani Abstract reasoning. Na ili uweze kupata kipimo sahihi cha akili ya mwanadamu unatakiwa umri wa akili ×100 halafu gawanya kwa umri wa kuzaliwa unapata jibu. Umri wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo afanyayo mtu.

Kuna mwanasaikolojia Alfred Barnet 1904 alitambulisha nadharia ya namna ya kupima uwezo wa akili ya mwanadamu, kuwa ni kuwaanisha umri wa kuzaliwa wa mtoto na umri wa akili.
No way.... Rudi tu kwenye SIASA!!
 
Binadamu ni kiumbe chenye akili na weledi wa hali ya juu na kila Binadamu ana Uungu ndani yake basi wapo waliofanya research na Kupima akili za mwanadamu kwa IQ lakini kiuhalisia ubongo wa mwanadamu kama utafanya japo fulani kila mara hutengeneza ubobezo fulani(Experience) ktk jambo hili hio ndio akili u
 
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).

Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
- mkuu kwa maana yako iq inapungua kutokana na miaka inavyozidi kwenda kwa kuwa kama ulimpa m2 mtihani wa iq akiwa na miaka 18 akawa na iq lets assume ya 160 sasa ina maana baada ya miaka kama 6 ina maana atakuwa na miaka 24 ukampa tena mtihani ule ule wa iq aliofanya mwanzo ina maana itakuwa imeshuka kwa 6 digits hata kama atakuwa amepata maksi kama zile za mwanzo lets assume mwanzo alipata 80 na uilpompa tena akapata 80 kwa hiyo sasa hivi atakuwa na iq ya 154 sasa inakuwaje katika list nyingi za watu wenye akili duniani wankuwa na same iq tokea walipopimwa kwa nn wasiwe wana update 2 kila siku ili tujue inakuwaje .na kama ni hivyo kutokana na maelezo yako kipimo hichi ni constant kwa miaka fulani sasa hebu nifafanulie nimetumia maksi kama umri wa ubongo
 
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).

Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
Ndugu wanasayansi wengi hawakikubali kipimo hiki cha IQ.watafiti wanasema matokeo yanaathiriwa na Mila na Tamaduni za mtahiniwa,mazingira aliyokulia,elimu ya mtahiniwa.pia kipimo hicho hakiangalii uwezo katika taaluma tofauti mfano uwezo kiongozi,ustadi wa uchoraji,uchongaji vinyago pia kumbuka dakitari bingwa wa pasuaji si lazima awe bingwa Kwenye siasa.
.mfano wa utamaduni tofautini Mhindi wa India akiulizwa swali, yeye kutikisa kichwa kulia na kushoto maana yake ni ndio.wakati sisi hiyo ni Hapana.Mtahini atampa kosa Mhindi kwa sababu za kitamaduni wakati jibu lake ni sahihi.mfano mwingine wewe uliyekulia mjini ukaachwa porini kwa siku kadhaa wewe na IQ yako kubwa waweza usimudu kama mtoto mdogo aliyokulia mazingira hayo.
 
Salaamu kwenu!

Ninafahamu maana ya akili ni uwezo au weledi wa kutafuta jibu au utatuzi wa tatizo au changamoto.

Sasa je ni nini kipimo sahihi cha akili ya binadamu?

Watu huwa wanatumia kigezo kipi kuhitimisha kuwa "fulani ana akili nyingi sana"?

Nimetafakari sana juu ya kipimo sahihi kinachoweza kutumika na kubaini kwa usahihi akili ya binadamu na sijafanikiwa kupata jibu lake nimeona ni vema niwashirikishe wanajamvi.

Karibuni.
Hakuna kipimo kwa maana ya kifaa lakini pia akili ya binadamu haina mipaka au ukomo lakini kwa uelewa wangu nitapima au nitasema fulani ana akili nyingi kutokana na maisha anayoishi na mambo aliyoyafanya hapa duniani. Wapo watu wengi waliofanya mambo makubwa hapa duniani na hizo ndio akili zenyewe kwa sasa nitamzungumzia mtu anaitwa Nicola Tesla huyu jamaa aligundua umeme na redio lakini wamarekani hawataki watu wamjue lakini wachache tushamjua. Sasa ugunduzi wa umeme ni mojawapo ya ugunduzi mkubwa sana kuwahi kutokea hapa duniani na akili iliyotumika hapa ni kubwa mno.
 
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).

Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
Asante sana. Nimependa mchanganuo mzuri.
 
Kuangalia maisha ya mtu ili kutambua akili sasa mfano kijana aliye na umri wa miaka 18 huyu inaezekana bado anasoma na hajafanya makubwa sasa utamuangaliaje maisha yake ndo kwanza anaanza? Vipi akifariki kwenye umri huo
 
Hapa imkaaje kwa wale wanao penda kufanya mambo ya kitoto (makuzi) mfano kupendelea hata games, kutazama picha za katuni nk.

Hawa tunawaweka katika age ya 15 ili kupima akili yao.......!!?

Nipeni muongozo.....
 
Rafiki kuna mwanasaikolojia mmoja anaitwa Alfred Binet 1904, Binet was passionate about testing and measuring human IQ or Capabilities. Alikuja na formula yake ya namna ya kutambua akili ya mwanadamu. Yaani IQ= Mental age / Chronological age × 100.
Kwa mfano wewe una miaka 25 lakini kwa mwonekano na matendo yako hayafani na umri wako kabisa, yawezekana tunaokutazama matendo unayofanya ni matendo ya mtoto wa miaka 15. Sasa ili tujue uwezo wako kiakili tunatumia kanuni yetu ya IQ= Mental age/ Chronological age × 100.

Your IQ is : 100 × 44/ 25 = 60 This low IQ . tayari tunapata jibu kwamba sio kosa lako , Bali ni tahira. lakini huu ni mfano rafiki Si kweli wewe ni tahira.
Naomba kujua IQ ya Alfred binet asije naye akawa kilaza tu. Mmmh Mimi naona kuamini hii formulae ni zaidi ya utahira[emoji3] [emoji3] [emoji3] but
 
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).

Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
sasa mkuu samahani kidogo kwa faida ya wote sasa iyo 15 uloeka ni constant au (100 times 15 divide mwaka wa mtu
 
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).

Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
Haha Dah tusi hili Mzee
 
Rafiki kuna mwanasaikolojia mmoja anaitwa Alfred Binet 1904, Binet was passionate about testing and measuring human IQ or Capabilities. Alikuja na formula yake ya namna ya kutambua akili ya mwanadamu. Yaani IQ= Mental age / Chronological age × 100.
Kwa mfano wewe una miaka 25 lakini kwa mwonekano na matendo yako hayafani na umri wako kabisa, yawezekana tunaokutazama matendo unayofanya ni matendo ya mtoto wa miaka 15. Sasa ili tujue uwezo wako kiakili tunatumia kanuni yetu ya IQ= Mental age/ Chronological age × 100.

Your IQ is : 100 × 44/ 25 = 60 This low IQ . tayari tunapata jibu kwamba sio kosa lako , Bali ni tahira. lakini huu ni mfano rafiki Si kweli wewe ni tahira.
Matendo gani anayoyafanya mtoto wa miaka 15?
Na ni matendo gani anayotakiwa kufanya mwenye miaka 25?
 
Ni mgombea uraisi unayemshabikia kwenye general elections 2020
 
Back
Top Bottom