Kipimo cha kumgundua Msaliti

Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa pale muwapo kwenye majambozi?

halua halua tu kaka!utapewa maujanja yna kumjua mwanamke aliyetoka kwenye mchakato hapa, af ukutane na watoto wa daslam wamekuwekea sharbu utarudi humu jamvini utangaze kadi za michango!
 
kaka yangu mzima wewe? mwache ajitafutie bp na sheli zake. hajajua maisha akiyajua hatawaza hivi.

Sijambo dadaangu..
Vipi sensa imeisha salama?
Huku kwetu yale madodo..madodoroso..ah!..yaligongwa copy!!
 
Nikikujibu umnuse K utasikia harufu ya shahawa?
Au uichunguze K kama ina utelelezi utelelezi?

Naona hata huna uhakika wa nini unachotaka kujulishwa!

i love yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kaunga!au anataka amwekee ugoro ikitema ajue ametoka kurushwa maji(wapi gfsonwin)
 
hivi jamani kwanini kwanza uish na mtu usomwamiani hadi ifikie huko? to me if someone doesn't trust you it means that love is not there and if that is the case you better think of the means to remediation. ila mkuu if ni gf wako u dont need to go that much far beta ukonsetrate kwenye mambo mengne ya msingi kuliko kuchimbua atakayokupa jaka moyo.

huyu hajui huyu!
 
Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa pale muwapo kwenye majambozi?

Nijavyo mimi, ukibahatika kukutana nae siku hyihyo ya kukuchiti, ana wenge balaa.. Anajifanya kila kitu atataka akufanyie, anajichekesha, mbaya zaidi anakuwa mkarimu sana.
 
wee utatafuta pressure bure achana na kufuatilia sana wanawake kama hauna imani acha ngono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom