Kipimo cha IQ: Umeelewa nini kupitia hii picha?

Kipimo cha IQ: Umeelewa nini kupitia hii picha?

mwenye pesa bila elim ana faida kwani anaona hadi kupitiliza, pia anaweza akainama akaoba sawa na mwenye elim au mwenye elim na oesa

Pesa>Elimu
Somo limeeleweka
 
Wote mnazingua tu, katika hii dunia muhimu ni kuzishika Amri za MUNGU na kumtii. Ukiwa na NENO la MUNGU ndani yako, unakuwa na kila kitu unachotakiwa kuwa nacho. Pesa, elimu, ufahari wa hii dunia, mateso ya hii dunia ni vitu vya kupita tu, hivi vyote vitapita lakini NENO la MUNGU halitapita kamwe!

Wao wenye NENO la MUNGU ndani yao, hao ndiyo watakaokula "mema ya nchi" siku ile ikifika. Imeandikwa; "utafuteni kwanza Ufalme wa MUNGU na haki yake na hayo yote mtazidishiwa".
 
Mwenye pesa nyingi bila elimu na yule ambaye hana elimu kabisa hawaoni nje ya dirisha/mbele and vice versa kwa hao wenzao
 
Mkulu kakanyaka T.1.5 za watanzania
 
Kuna tajiri wa Mwanza alieungua ndani ya nyumba yake huku kakumbatia Maburungutu ya pesa nia nani vile? Ni yule Msukuma wa darasa la saba au? hiyo habari nakumbuka niliisoma kwa gazeti. sasa sijui hapo atakuwa namba ngapi
 
Ukikosa elimu na pesa utapata tabu sana utapigika kama mbwa koko.
 
Kutoka kushoto kwenda kulia:

1. Ana pesa nyingi, hana elimu kabisa (ana uwezo na maisha ya juu sana, nguvu ya pesa ndiyo inayomuongoza)

2. Ana elimu ndogo, hana pesa kabisa ( ana maisha ya kubangaiza/kubeep/chungulia)

3. Ana elimu ya wastani, ana pesa za wastani ( ana maisha ya kawaida, maisha ya wastani)

4. Hana elimu kabisa, hana pesa kabisa ( anaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu, hana mueleko wowote anaouona)


Cc: mahondaw
 
Kweli hiki ni kipimo kizuri sana maana kila mmoja ana bwabwaja la kwake. Ingawa kimsingi wote wanakubaliana na namba 3 na 4. Ila 1 na 2 tafsiri yake kila mmoja inategemeana na mazingira yake
 
Hapo ni kuhusu level ya maono...

Kuona au kutoona vizuri kunatokana na position yako katika hilo dirisha..
Kimaisha unaweza kuona/kutoona vizuri kulingana na nyenzo ulizonazo ambazo kwa hapo mainly ni elimu na Pesa..

1) ana Pesa nyingi hana elimu hivyo hana yuko Juu lakini hana maono mazuri sana kwa sababu ya kukosa elimu
2)ana elimu ya kutosha na amesahau kutafuta Pesa.. Anona sehemu tu ya vile anavyotakiwa kuona..
3)aligawa muda wake vizuri katika kutafuta elimu na Pesa.. Amebalans vizuri so anaona clear picture kuliko wote..

4)hana elimu wala Pesa huyu haoni chochote
 
1. Hana elimu lakini ni tajiri wa kutupwa
2. Ana elimu kubwa na pesa kiasi
3. Ana elimu hana pesa
4. Hana elimu wala pesa
na jinsi gani wanavyo yaona maisha kwa utofauti kuna mwingine anayaona ni kitu kidogo sana mwingine ni kawaida na mwingine anayaona ni magumu kufika sehemu fulani wakati yule ambae hana kitu hajui hata nini kinachoendela

nawasilisha
 
Mwenye pesa nyingi haoni kabisa mbele ndiyo maana amezibwa na mti na ukuta, asiye na elimu pia haoni kabisa ndiyo maana amezibwa na ukuta
Huyo mwenye pesa angewatumia hao wengine kuvunja hicho kisehemu kilichomziba mambo yangekuwa sawa, pesa inaweza kununua hao wote, huyu mwenye pesa ndio mjanja zaidi , now day pexa ndio kila kitu.
 
Picha ya kwanza : inamaanisha kwamba pesa tu haiwezi kutosheleza katika maisha

Picha ya pili : elimu ndogo haitatosheleza katika maisha

Picha ya tatu:elimu ya kutosha au ya kawaida na pesa ya kutosha au ya kawaida
ndo kila kitu (inafit katika maisha)

Picha ya nne :bila elimu bila pesa ni majanga
 
Was kwanza anapesa nyingi lkn hajui nn cha kufanya wapilu amesoma lkn hajui jinsi kutumia elimu yake watatu amesoma na anajua kutumia elimu yake na ana malengo wanne hana elimu na haujui nn cha kufanya kwa sababu ni ignorant
 
Pesa ndio kila kitu, elimu bila pesa itakusaidia kidogo sana, elimu na pesa itakusaidia kiasi (moderately) bila elimu na bila pesa sahau kabisa
 
Back
Top Bottom