1)Kusoma sana ni chanzo cha umasikini,utaona huyo ambaye hajakanyaga vitabu ikimaanisha hajapoteza muda wake mashuleni bali yeye ametumia muda mwingi kutafuta pesa amefanikiwa kuwa na pesa nyingi ie matajiri wengi hawana elimu kubwa kiivo
2)Kuhangaika miaka mingi na shule hukufanya kuwa masikini,tizama huyo aliyekanyaga vitabu pekee.Kama ndugu zangu wahaya wao shule tu lakini ukienda kwao Bukoba ni shida tupu sifa za bure.
3)Kusoma huku ukichanganya na utafutaji wa pesa kama kujiajiri kutakufanya walau uwe na pesa za wastani,tizama huyo aliokanyaga vitabu mguu mmoja na mguu mwingine amekanyaga pesa.
4)Kuwa upoupo tu kutakufanya ukose vyote kwa maana ya elimu na hata pesa utakosa,tizama huyo aliyesimama hana chochote.