Kipimo cha IQ: Umeelewa nini kupitia hii picha?

Kipimo cha IQ: Umeelewa nini kupitia hii picha?

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,441
Reaction score
8,692
IMG_20180513_111117_010.jpg


Habari wana JF


Toa Point 4 kuhusiana na hii picha
 
Hiyo picha wanayoitizama ndio kielelezo cha jinsi wanavyoishi maisha yao kwa utofauti wao,

1~Ana pesa nyingi ila hana elimu,amekua juu zaidi ya maisha ya kawaida wala hayaoni maisha vizuri (yupo juu zaidi kiasi ya hiyo picha anayoitizama) Coz hana elimu!

2~Ana elimu lakini hana pesa,maisha anayoishi ni ya chini kiasi (rejea jinsi alivyo chini kuitizama hiyo picha ambayo ndio kielelezo cha LIFE)

3~Ana elimu na ana pesa,yupo vizuri zaidi kimaisha kuliko hao wengine (hata ukiwa na pesa nyingi elimu ni kitu muhimu sana)huyu yupo balanced kielimu na kiuchumi,

4~Hana elimu wala hana pesa,maisha kwake ni ya dhiki wala hayaoni "maisha" (rejea jinsi anavyoiangalia picha ya mbele yake)picha iko juu yeye chini,

NB;
Namba 1 mpaka 4 ni jinsi hao watu walivyosimama,namba zinaanzia mtu aliyesimama kuanzia kushoto kwenda kulia.
 
Hapo inazungumzia uwiano wa pesa na Elimu
1. Ukiwa na pesa bila elimu, upumbavu/ujinga utakufanya usiwe na maono/mtazamo/ufahamu mzuri wa dunia.
2. Ukiwa na elimu bila pesa, utakuwa na maono mafupi ya dunia
3. Ukiwa na pesa pamoja na elimu utakula mema ya nchi.
4. Ukikosa pesa na elimu katu hutojua mema ya dunia.
 
1. Ukiwa na pesa mingi tu bila elimu, unaweza ukakimbia mpaka ukapapita kwenu, kwasbab hutajua kujipangilia
2.Elimu tu bila pesa itakupa mwanga lakin hafifu,maana hutaweza ku implement vizur unachofikiri
3.Ukiwa na pesa pamoja na Elimu maisha yako yatakuw yamebalance na utaenda sawa
4. Maisha bila pesa wala elimu ni giza tu
 
1. Kuwa na mipesa mingi peke yake inaweza kukufanya ubweteke na ushindwe kuuona ulimwengu mwingine. Unaona huyo jamaa amekingwa na miti!
2. Kuwa na elimu peke yake bila pesa unaweza kuona upande mmoja tu!
3. Elimu na pesa vinakupa fursa nzuri ya kuona kinachoendelea duniani
4. Kukosa vyote ni majanga!
 
1. Mwenye Pesa bila elimu kuna vitu havioni vizuri au havioni kabisa.

2. Mwenye elimu bila pesa kuna vitu havioni vizuri au havioni kabisaaaaa

3. Mwenye pesa na elimu anaona vitu vizuri pasi na shida kwa upeo autakao yeye.

Ndugu yangu namba 4 hana pesa na hana elimu haoni chochote kwa ufupi wa upeo alionao ktk kuona. Hata akijilazimisha vipi HAWEZI.
IMG-20180511-WA0059.jpg
 
Namuona msukuma kakanyaga mabulungutu tu ya kutosha.....

Ova
 
1.Tajiri
2.Ni msomi lakini hana pesa
3.Ni msomi na pia ana pesa
4.Hana pesa wala sio msomi japo wote wana maisha mazuri
 
Pesa na elimu imemfanya mhusika kuona kila kitu, yuko vizuri, ni heri ya pesa na elimu...
 
Back
Top Bottom