commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,626
- 870
- Thread starter
- #41
adamu wa dodoma, anmepiga simu anasemaudini wa nchi hii unaletwa na viongozi walio na madaraka,na wala sio wananchi anasema mwaka 1995 kule zanzibar katika uchaguzi mkuu ilienezwa kuwa chama cha cuf ni chwa waislamu, leao hii chadema inanguvu wanasema chadema ni cha wakristo, tena watu hao wanagombea nafasi kubwa ubunge hata uraisi, anasema mamabo yamefika hata katika viongozi wenyewe wa dini hawaelewani