Kipima joto ITV: Kauli ya Mwalimu Nyerere juu ya maswala ya udini na ukabila

Mchonga ndio mdini namba moja, ndio maana kuna ubalozi wa papa tz. Xmas ofisi zote na taasisi zinapambwa, vipi idd?

Mbona aliwatimua waisrael..? Wakati dini yake inaheshimu na kulitukuza hilo taifa..? No research no ryt to speak..
 
tunakokwenda katika nchi hii ni kubaya sana.
mtangamano wa kijamii kwa sasa haupo kabisa.makundi ya kidini yanazidi kuitafuna nchi kwa kasi ya ajabu.

1]}tumeshuhudia kule zanzibar makanisa yakichomwa kwa kuupinga muungano,japo mpaka sasa sijaona uhusiano uliopa kati ya makanisa na muungano...tunashuhudia mara nyingi wakristo wakitukanwa na kukashfiwa saana kuhusu dini yao lakini busara mara zote inatawala na kwa kweli sijawahi kusikia kuwa wakristo wameleta vurugu baada ya kukashfiwa..

2}kuna ile ishu ya kukamatwa kwa waislamu waliosusia sensa,wakaamini kuwa ile ni uonevu wa dini yao kwa hiyo wakaamua kuandamana na ndugu zao kufanikiwa kutolewa.

3}kuna suala la kutaka mama ndalichako aondolewa baraza la mitihani eti kwa kisingizio kwamba waislamu wamefeli somo la dini yao.

4}suala la hivi karibuni la mtoto kukojolea quran tukufu limenishtua kidogo hasa nikizingatia kuwa suala hili tena lililofanywa na mtoto likapelekwa kwenye ishu ya udini na waislamu kuanza kuchoma makanisa huko mbagala,
5}Mara kadhaa nimeshuhudia waislamu wakiitukana dini ya wenzao{ukristo},lakini wakristo wamekaa kimya..
lakini katika yote nashukuru sana wakristo wameonesha ukomavu wa hali ya juu pale masuala ya kuwaingilia kidini wamekuwa watulivu na wenye busara kubwa sana....
HATARI INAKUJA PALE MAMBO HAYA YAKIENDELEA KUFANYWA HIVI NA WATU HALAFU SERIKALI IKAKAA KIMYA KAMA HAIYAONI HAYA....itafika mahali watu watatshindwa kuvumiliana na ndio mwanzo wa vita za kidini katika nchi yetu..

ni mtazamo wangu kwa future ya taifa langu
 
ole wao waitegemeao serikali hii dhaifu na yenye udini waziwazi!
 
Kama hiyo ndiyo tafsiri sahihi kwa nini Sheikh Ponda naye anaitwa mdini inakuaje mkuu nielimishe.
hivi hujui kwamba ponda anachochea waumini wa dini yake, kupuuza na kutokuheshimu imani za watu wengine? Anasababisha watu wengine wasipate haki ya kuheshimiwa na kulindwa kwa mali zao, kwa uchochezi wake! Ma self ni muslim, ponda ni mdini na mchochezi pia! Ukweli lazima usemwe!
 
Mchonga ndio mdini namba moja, ndio maana kuna ubalozi wa papa tz. Xmas ofisi zote na taasisi zinapambwa, vipi idd?

Ndio maana tunasema uwezo wenu wa kuongoza mwisho ni ngazi ya kitongoji. Unaongea upuuzi as if hiyo ni sera ya taifa. Hata kukujibu naona kinyaa. Huyu shehe Ponda atawamaliza wote. Nahisi hii sera yenu ya kigezo cha shehe ni kuwa mwanaume tuu ndio inaleta shida.
 
mlizoea mukikooa tu waislamu wanavamiwa misikitini na kupigwa na kudhalilishwa akina mama(mwembechai). ndo mujue alie ukuza udini ni nani! Tafakari nchi yetu sote kwa nini double standard,mara mupewe majibu NECTA munajiita wasomi?

mmebakza hayohayo! Wenzenu wanakesha madarasani wakisoma,nyie mnakesha kuabudu majini! Mtalalamika sana,lakini Inapokuja kwenye juhudi mnakamata zero,na ujinga wenu wa kuzaa matoto 20,wenzenu tnazaa watoto 2 tu,mtatupata saa ngapi? Na utaona hayo makanisa ndani ya wiki mbili tu yatakuwa repaired vzr,mseme tena serikal imetpa hela! EDUCATION IS POWER.
 
Mchonga ndio mdini namba moja, ndio maana kuna ubalozi wa papa tz. Xmas ofisi zote na taasisi zinapambwa, vipi idd?

kuna ubalozi wa Saudi Arabia,Iran ,Iraq zote ni nchi za kiislamu kukiwa na ubalozi wa Vatican nchi ya kikristu inakuwa kosa mnaanza kulialia kama kawaida yenu!!..kama xmass ofisi zote zinapambwa na nyie ikifika Eid si mpambe!?mmekatazwa!?..mwisho mtalalamika kwa nini majengo ya kanisa yamezunukwa na miti,maua na bustani nzuri ila majengo ya misikiti yamezungukwa na wafanyabiashara ndogo ndogo wa bagia,mihogo choma,vibagalashia nk na hakuna ata ua la kupamba mazingira..
 
Somo. Tanzania kusiwe tena na rais muislamu milele.
kiwango cha uongozi kwa wafuasi wa imani hii isiyo na staha ni uwenyekiti wa kitongoji tu.

hapana mpendwa, ukihitimisha hivyo unakosea, kuna waislamu wastaarabu sana na wenye utashi.
kinachotakiwa tu kwa wengi kuondoa chuki hasa kwa wakristo na wajue wakristo sio ndio chanzo cha matatizo yao, na kama wataendelea kufikiri hivyo, watakua wanaacha tatizo halisi na kutafuta vita. ila kwa habari ya kuongoza wanaweza wakiachana na ubaguzi. ukishabagua kila kitu kwa kupendelea dini yako, mambo yanakuwa magumu, huwezi kuendesha taifa lenye itikadi tofauti za kidini kwa ubaguzi na mambo yakawa sawa. tatizo lipo kwa baadhi yao ambao hawataki kuona ukweli, roho mbaya na chuki, hasa kutokana na mafundisho wanayopewa, ulalamishi usio na kikomo ambao ni wa kufuata mkumbo wa wale wenye interest fulani. wanapatikana kiurahisi pia kwa sababu ya uwezo duni wa kiuchumi walionao wengi ambao unalazimishwa kuwa umeletwa na mfumo kristo;
lakini hao hao wakitulia wanaona kwamba wakristo ni wema, maana wengi wanaajiriwa na taasisi za kikristo, wengi wanatibiwa katika hospitali za kikristo-tena bila shida na wengi sana wanasoma katika shule za kikristo bila shida wala ubaguzi. tofauti hata nikitaka kugeuza-yaani. mf. kuna shule za kiislam mkristo akienda hapokelewi aslan, na wala sio seminar za kawaida tu
 
Nyerere alikuwa Mdini sana. Kwa usahihi zaidi soma vitabu hivi kuthibitisha hayo.

Jan P van Bergen katika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania,(1981)
Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985 (1992).
 
nyerere ndiye aliyeweza kukemea udini kwa vitendo.. Serikali yetu imeshindwa kabisa.. Sasa nchi yetu yaangamia!!!
 
Ufa mkubwa unaoitikisa nchi ni muungano, Zanzibar ikijitenga, wajue kinachowafanya wajiite wao Wanzibar ni Muungano.
Nje ya Muungano Kuna wao Wapemba na sisi waunguja, HAMTAKAA SALAMA.
Dini, leo mnataka kupanda magari ya udini, na ukabila?

Jamani hotuba za Mwl Nyerere zipo na nyote mnazisikia na zipo hai mpaka leo.
Tanzania na Zanzibar kumekucha na wanaoleta mashaka Haki ya Mungu ni waislam, Wanataka nchi hii wao wawe na Kauli kukiko hata Marais wanaotawala.
Hili ni bomu ambalo haliwezi vumilika na sasa imafikia mahali watu wanaishi kwa mashaka bila hata kujua nini kitatokea kesho.
Napenda kuzilaumu serikali zote mbili kwa kuyafumbia Macho haya kwani yalianza Zamani Wazanzibar wakitaka Muungano ufe walianza kuchoma makanisa Zanzibar kana kwamba muungano ulifanyika kanisani.
Zaidi huyu Shekhe Farid aliyepotea sasa alishashikiliwa na Police na akafikishwa mahakama ya Mwanakwerekwe na hakuwekewa Dhamana na hajarudishwa tena mahakamani na alitolewa na kuwa huru na kuendelea na mambo yake kama kawaida..Sheria ipo wapi sasa na amani udumishwe vipi.?
Shekhe Ponda alifikia mahali kutamka wazi kuipa serikali siku kuufunga ubalozi wa marekani na kama wasipofanya wao wataufunga.
Mbagala malumbano ya watoto makanisa yamechomwa..TUNAENDA WAPI WATANZANIA. MTU MMOJA KAMA HUYU AKIPIGWA SHABA MOJA TUKALIA MARA MOJA NA KUSAHAU KERO ZAKE KUNA SHIDA GANI??
SERIKALI AMKENI NA MSIFUNDISHWE KAZI NA WATU WANAOTAKA KUHARIBU AMANI YA NCHI HII.

Alikuwa anasema hiki, anafanya kile! Nyerere ndiye aliyepandikiza mbegu ya udini! Kundi moja la dini kujiona bora kuliko lingine!
 
Huyo ndio wa kulaumiwa kwa yanayotokea sasa tz. Mbegu aliyoipanda inatoa matunda sasa.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Alikuwa anasema hiki, anafanya kile! Nyerere ndiye aliyepandikiza mbegu ya udini! Kundi moja la dini kujiona bora kuliko lingine!

Hebu tudadavulie aliupandikiza vipi ? Maana mi najua alisaidia sana baada ya kuchukua shule za makanisa na kuzifanya za umma ili watu wote wasome sema ubishi wao tu wakwenda shule hilo hatuwezi kuwasaidia.shule zote unazoona zina makanisa ndani yake hazija jengwa na serikali ili ilizichukua kutoka kwa makanisa tena nyingi tu...
 
Back
Top Bottom