Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

osieee

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
222
232
Habari za mida hii, nina imani nyote ni wazima kabisa. "ASIYEKUBALI UPINZANI WA MAWAZO NI PUNGUANI" JK NYERERE

Moja kwa moja niende kwenye mada juu ya uwekezaji kwende bandari zetu.

1. Uwekezaji umechukua sura ya udini, walio wengi kuunga hoja mkono hata wale ambao siku zote hupinga inayafanya serikali mfano Shekhe Ponda.

2. Suala hili pia limekumbwa na ushabiki mkubwa sana wakikanda yaani watu toka zanzibar wanalipambania hili suala sana lifanikiwe, wakati hapo mwanzo walikua wakosoaji wakubwa wa serikali mfano Fatuma Karume.

3. Ukiangalia wengi wa wanaolipigia debe hili suala ni wale walambishwa asali na walioko kwenye mifumo ya (maokoto) kama wasemavyo vijana.

4. Media coverage ya ovyo na ya kitoto inayofanywa kupitia vyombo vya habari vyenye nguvu bila kujua mdhamini wao au nguvu ilokua nyuma yao.

5. Msemaji mkuu wa serikali kukosa ufahamu zaidi kwenye masuala nyeti ya taifa kama hili, maana anavyoropoka yeye na kilichozungumzwa na watendaji wakuu wa TPA na PM Majaliwa na waziri mwenye dhamana vina utofauti mkubwa sana wa kimantiki na maana. Yeye Msigwa anatuambia ni makubaliano na wakati bungeni tumeelezwa ni mkataba. MSIGWA HATOSHI KWENYE HII NAFASI MAMA MPELEKE AKAWE RAS MARA HUKO.

6. Spika wa bunge amekua akitoa maagizo ya kudeal na raia wanaotoa mawazo kinzani kuhusu mkataba, sasa nikahoji ni yapi mamlaka ya spika kwa watu wanaokinzana na mawazo ya serikali? na je bunge lipo kwa ajili ya kuilinda serikali kwenye kila jambo?

7. Nahisi mastermind wa serikali na chama cha mapinduzi Ndg. Magoti na vijana wake wameanza kupwaya maana wanaibua masuala na hoja nyepesi sana za kufanya watu wasahau suala la bandari lakini inakua ngumu, mfano suala la mwanafunzi Esther wa Mbeya.

8. Nilitegemea katika hoja nzito kama hii chama cha mapinduzi kamati kuu wangekutana kujadili na kuzijibu hoja kuu za wananchi wakiwa na majibu walioafikiana.

9. Kauli ya Rais Samia jana akiwa Arusha ina ukakasi sana kuwa wao hata wasemeje yeye anafanya hasikilizi yeye anfanya tu, inamaana hata hili la bandari keshaamua sie tunajisumbua tu siyo?

Karibuni kwa majadiliano.
 
habari za mida hii naimani wazima sote kabsa , "ASIYEKUBALI UKINZANI WA MAWAZO NI PUNGUANI" JK NYERERE
moja kwa moja niende kwenye mada juu ya uwekezaji kwende bandari zetu.

1.Uwekezaji umechukua sura ya Waislamu walio wengi kuunga hoja mkono hata wale ambao siku zote hupinga inayafanya serikali mfano Shekhe Ponda.

2.suala hili pia limekumbwa na ushabiki mkubwa sana wakikanda yan watu toka zanzibar wanalipambania hili suala sana lifanikiwe ,wakat hapo mwanzo walikua wakosoaji wakubwa wa serikali mfano Fatuma Karume

3.Ukiangalia wengi wa wanaolipigia debe hili swala ni wale walambishwa asali na walioko kwenye mifumo ya (maokoto) kama wasemavyo vijana

4. Media coverage ya ovyo na ya kitoto inayofanywa kupitia vyombo vya habr vyenye nguvu bila kujua mdhamini wao au nguvu ilokua nyuma yao.

5.Msemaji mkuu wa serikali kukosa ufahamu zaidi kwenye masuala nyeti ya taifa kam hili ,maana anavyoropoka yeye na kilichozungumzwa na watendaji wakuu wa TPA na PM Majaliwa na waziri mwenye dhamana ,vina utofauti mkubw sana wakimantiki na maana ,yeye msigwa anatwambia ni makubaliano na wakati bungeni tumeelezwa ni mkataba ,MSIGWA HATOSHI KWENYE HII NAFASI MAMA MPELEKE AKAWE RAS MARA HUKO.

6.Spika wa bunge amekua akitoa maagizo ya kudeal na raia wanaotoa mawazo kinzani kuhusu mkataba ,sasa nikahoji ni yapi mamlaka ya spika kwa watu wanaokinzana na mawazo ya serikali ? na je bunge lipo kwa ajili ya kuilinda serikali kwenye kila jambo

7 ,Nahisi mastermind wa serikali na chama cha mapinduzi ndg Magoti na vijana wake wameanza kupwaya maana wanaibua masuala na hoja nyepesi sana za kufanya watu wasahau swala la bandari lakn inakua ngumu ,mfano suala la mwanafunz esther wa mbeya

8 .Nilitegemea katika hoja nzito kama hii chama cha mapinduzi kamati kuu wangekutana kujadili na kuzijibu hoja kuu za wananchi wakiwa na majibu walioafikiana.

9.Kauli ya Samia jana akiwa Arusha ina ukakasi sana kuwa wao hata wasemeje yeye anafanya hasikilizi yeye anfanya tu ,inamaana hata hili la bandari ,keshaamua sie tunajisumbua tu siyo?

Karibuni kwa majadiliano # MTANGANYIKA MMOJA
 
Mkristo hasa RC, wa kiTanzania hatakuja kumpenda Raisi wakiislamu hata akifanya mema kiasi gani.......hi ni chuki ya kidini sio uzalendo mbona nyuma kanisa haikumpinga mkapa wakati anauza NBC, TTCL anawapa bandari mkezaji binafsi wa ndani nk.
Unatetea muuza bandari sa100 na genge lake?
 
Mkristo hasa RC, wa kiTanzania hatakuja kumpenda Raisi wakiislamu hata akifanya mema kiasi gani.......hi ni chuki ya kidini sio uzalendo mbona nyuma kanisa haikumpinga mkapa wakati anauza NBC, TTCL anawapa bandari mkezaji binafsi wa ndani nk.
mbona kikwete kafanya uwekezaji na hakushambuliwa na hao viongoz wa RC
 
Wewe ulikuapo hapa Tz 2010 katika uchaguzi wa mhula wa pili kampaini za kumponda Kikwete na kuchaguwa dr Slaa zilikua zina pigwa wazi wazi kanisani RC regardless chama chake, JK kapita chupu chupu na 56% ambao ijawahi kutokeo mgombea wa CCm kupata asilimia dogo kiasi hicho kanisa ikadai amechakachua uchaguzi......hao RC wana chuki na ma Raisi wakiislamu kwanini wakati hao hao waislamu ndo walimkaribisha JKN na kumuachia uRaisi wakati yeye ni RC.
 
kumbe JPM alishinda kwa asilimia ngap 2015 ? ,jakaya maovyo ovyoyake ndo yalimpatia shida 2010 not otherwise
 
Habari za mida hii, nina imani nyote ni wazima kabisa. "ASIYEKUBALI UPINZANI WA MAWAZO NI PUNGUANI" JK NYERERE

Moja kwa moja niende kwenye mada juu ya uwekezaji kwende bandari zetu.

1. Uwekezaji umechukua sura ya udini, walio wengi kuunga hoja mkono hata wale ambao siku zote hupinga inayafanya serikali mfano Shekhe Ponda.

2. Suala hili pia limekumbwa na ushabiki mkubwa sana wakikanda yaani watu toka zanzibar wanalipambania hili suala sana lifanikiwe, wakati hapo mwanzo walikua wakosoaji wakubwa wa serikali mfano Fatuma Karume.

3. Ukiangalia wengi wa wanaolipigia debe hili suala ni wale walambishwa asali na walioko kwenye mifumo ya (maokoto) kama wasemavyo vijana.

4. Media coverage ya ovyo na ya kitoto inayofanywa kupitia vyombo vya habari vyenye nguvu bila kujua mdhamini wao au nguvu ilokua nyuma yao.

5. Msemaji mkuu wa serikali kukosa ufahamu zaidi kwenye masuala nyeti ya taifa kama hili, maana anavyoropoka yeye na kilichozungumzwa na watendaji wakuu wa TPA na PM Majaliwa na waziri mwenye dhamana vina utofauti mkubwa sana wa kimantiki na maana. Yeye Msigwa anatuambia ni makubaliano na wakati bungeni tumeelezwa ni mkataba. MSIGWA HATOSHI KWENYE HII NAFASI MAMA MPELEKE AKAWE RAS MARA HUKO.

6. Spika wa bunge amekua akitoa maagizo ya kudeal na raia wanaotoa mawazo kinzani kuhusu mkataba, sasa nikahoji ni yapi mamlaka ya spika kwa watu wanaokinzana na mawazo ya serikali? na je bunge lipo kwa ajili ya kuilinda serikali kwenye kila jambo?

7. Nahisi mastermind wa serikali na chama cha mapinduzi Ndg. Magoti na vijana wake wameanza kupwaya maana wanaibua masuala na hoja nyepesi sana za kufanya watu wasahau suala la bandari lakini inakua ngumu, mfano suala la mwanafunzi Esther wa Mbeya.

8. Nilitegemea katika hoja nzito kama hii chama cha mapinduzi kamati kuu wangekutana kujadili na kuzijibu hoja kuu za wananchi wakiwa na majibu walioafikiana.

9. Kauli ya Rais Samia jana akiwa Arusha ina ukakasi sana kuwa wao hata wasemeje yeye anafanya hasikilizi yeye anfanya tu, inamaana hata hili la bandari keshaamua sie tunajisumbua tu siyo?

Karibuni kwa majadiliano.

- Vita ya kidini ikitokea Tanganyika itakua na madhara makubwa. kwasababu tuna dini kubwa mbili zenye mitazamo tofauti.

- Moto wa vita hii unachochewa siku baada ya siku, wachochezi wakubwa wakiwa ni wanasiasa.

- Watanganyika wameishi pamoja kwa muda mrefu ingawa wana imani tofauti za kidini. Wazanzibari wao hawana udhoefu huu, kwani nchi yao, in practice ni ya kidini, dini moja.

USHAHURI
- Watanganyika tuwe makini sana na Zanzibar na Wazanzibari kabla hatujachelewa.
 
Habari za mida hii, nina imani nyote ni wazima kabisa. "ASIYEKUBALI UPINZANI WA MAWAZO NI PUNGUANI" JK NYERERE

Moja kwa moja niende kwenye mada juu ya uwekezaji kwende bandari zetu.

1. Uwekezaji umechukua sura ya udini, walio wengi kuunga hoja mkono hata wale ambao siku zote hupinga inayafanya serikali mfano Shekhe Ponda.

2. Suala hili pia limekumbwa na ushabiki mkubwa sana wakikanda yaani watu toka zanzibar wanalipambania hili suala sana lifanikiwe, wakati hapo mwanzo walikua wakosoaji wakubwa wa serikali mfano Fatuma Karume.

3. Ukiangalia wengi wa wanaolipigia debe hili suala ni wale walambishwa asali na walioko kwenye mifumo ya (maokoto) kama wasemavyo vijana.

4. Media coverage ya ovyo na ya kitoto inayofanywa kupitia vyombo vya habari vyenye nguvu bila kujua mdhamini wao au nguvu ilokua nyuma yao.

5. Msemaji mkuu wa serikali kukosa ufahamu zaidi kwenye masuala nyeti ya taifa kama hili, maana anavyoropoka yeye na kilichozungumzwa na watendaji wakuu wa TPA na PM Majaliwa na waziri mwenye dhamana vina utofauti mkubwa sana wa kimantiki na maana. Yeye Msigwa anatuambia ni makubaliano na wakati bungeni tumeelezwa ni mkataba. MSIGWA HATOSHI KWENYE HII NAFASI MAMA MPELEKE AKAWE RAS MARA HUKO.

6. Spika wa bunge amekua akitoa maagizo ya kudeal na raia wanaotoa mawazo kinzani kuhusu mkataba, sasa nikahoji ni yapi mamlaka ya spika kwa watu wanaokinzana na mawazo ya serikali? na je bunge lipo kwa ajili ya kuilinda serikali kwenye kila jambo?

7. Nahisi mastermind wa serikali na chama cha mapinduzi Ndg. Magoti na vijana wake wameanza kupwaya maana wanaibua masuala na hoja nyepesi sana za kufanya watu wasahau suala la bandari lakini inakua ngumu, mfano suala la mwanafunzi Esther wa Mbeya.

8. Nilitegemea katika hoja nzito kama hii chama cha mapinduzi kamati kuu wangekutana kujadili na kuzijibu hoja kuu za wananchi wakiwa na majibu walioafikiana.

9. Kauli ya Rais Samia jana akiwa Arusha ina ukakasi sana kuwa wao hata wasemeje yeye anafanya hasikilizi yeye anfanya tu, inamaana hata hili la bandari keshaamua sie tunajisumbua tu siyo?

Karibuni kwa majadiliano.
we nae ndoo walele una udini
 
Wewe ulikuapo hapa Tz 2010 katika uchaguzi wa mhula wa pili kampaini za kumponda Kikwete na kuchaguwa dr Slaa zilikua zina pigwa wazi wazi kanisani RC regardless chama chake, JK kapita chupu chupu na 56% ambao ijawahi kutokeo mgombea wa CCm kupata asilimia dogo kiasi hicho kanisa ikadai amechakachua uchaguzi......hao RC wana chuki na ma Raisi wakiislamu kwanini wakati hao hao waislamu ndo walimkaribisha JKN na kumuachia uRaisi wakati yeye ni RC.
Ile clip ya lipumba msikitini walikuwa rc
 
Back
Top Bottom