kipima joto ITV hovyo kabisa

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Wakati wote napofuatilia swali la kipima Joto ITV naona kama waandaaji wa hawana upeo. Kwa mfano leo wakati Tanesco wamekanusha habari kuwa nchi itaingia gizani kutokana na giza zito, ITV ambayo imetoa tangazo hilo la Tanesco wanauliza tena eti "viongozi wanaohusika kuliingiza Taifa gizani waadhibiwe kama wahaini?"
 
Iyo issue imejadiliwa leo bungeni kuwa kuna viongozi wanatengeneza mgao fake kwa manufaa yao,
sasa mtoa hoja huyo akashauri hawa wanaoliingiza taifa gizani kwa manufaa yao wapewe adhabu ya kosa la uhaini, sasa itv ndo wameitumia kauli hiyo ya mbunge kama kipima joto cha leo.
Upo hapo??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom