kipima joto ITV hovyo kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kipima joto ITV hovyo kabisa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ngoshwe, Jul 27, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakati wote napofuatilia swali la kipima Joto ITV naona kama waandaaji wa hawana upeo. Kwa mfano leo wakati Tanesco wamekanusha habari kuwa nchi itaingia gizani kutokana na giza zito, ITV ambayo imetoa tangazo hilo la Tanesco wanauliza tena eti "viongozi wanaohusika kuliingiza Taifa gizani waadhibiwe kama wahaini?"
   
 2. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  although tanesco wamekanusha labda wao wameeka assumption au wanatamani iwe hvyo!!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Iyo issue imejadiliwa leo bungeni kuwa kuna viongozi wanatengeneza mgao fake kwa manufaa yao,
  sasa mtoa hoja huyo akashauri hawa wanaoliingiza taifa gizani kwa manufaa yao wapewe adhabu ya kosa la uhaini, sasa itv ndo wameitumia kauli hiyo ya mbunge kama kipima joto cha leo.
  Upo hapo??


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...