Kipima joto cha leo.....

Mmhhh.......mimi napita tu, jana nilikuwa na PJ mambo aliyonambia kuhusu chitchat sina hamu nayo, ndio maana nilikuwa najishangaa nimepungukiwa na upako. Nilifikiri ni flirting kumbe kweli.
Heheheeee umbea tu Remmy
We yanakuhusu nini?
Lol hata wewe na mimi ni kweli eeeh?
Hahahaaa nimuulize PJ?
BTW
Mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Mmhhh.......mimi napita tu, jana nilikuwa na PJ mambo aliyonambia kuhusu chitchat sina hamu nayo, ndio maana nilikuwa najishangaa nimepungukiwa na upako. Nilifikiri ni flirting kumbe kweli.
Remmy vipi tena.....
 
Last edited by a moderator:
my dear Erickb52, my dearest Bishanga my hazbendi Asprin, my baby loya klorokwini, my hubby buchanan, asali wangu TANMO, my hanni Teamo, my lavu platozoom, Judgement wangu, na wengineo ambao nimewahifadhi kwa sababu maalum........

every woman should have four pets in her life,

  • a mink in her closet
  • a jaguar in her garage
  • a tiger in her bed and;
  • a Jackass Penguin who pays for everything.............

baada ya kusema hayo, napenda kuwajulisha kuwa nawapenda sana..... mkimuona mzee wa mia. mwambieni chakula hakishuki kwa kumwaza yeye.....
 
Last edited by a moderator:
mume wangu Asprin jogoo lake linapanda, kuanzia mtungi, ndoo, mapipa hadi simtanks

we kweli hamnazo! kha!

Aisee na kuninywea bia zangu jana kumbe una midume mingi namna hii??

Acha nisepe na mahari yangu aisee...

usepe uende wapi na ndoa yetu ya kanisani? au unataka nikuimbie baby dont go?

Aisee na kuninywea bia zangu jana kumbe una midume mingi namna hii??

Acha nisepe na mahari yangu aisee...

Heheheheee BADILI TABIA si tunayakubali yote
Hatuna mgogoro cha msingi unatupa raha kwa nafasi
 
Last edited by a moderator:
Mmhhh.......mimi napita tu, jana nilikuwa na PJ mambo aliyonambia kuhusu chitchat sina hamu nayo, ndio maana nilikuwa najishangaa nimepungukiwa na upako. Nilifikiri ni flirting kumbe kweli.

Unasema? Embu rudia nikusikie? Inaelekea Remmy una some good news.
 
Last edited by a moderator:
waambie ma dearest manake wamezidi kumzushia tu waambie kwamba hata gfsonwin kungwito alishamjaribu alipompaka dawa na akagundua kuwa yuko gado.

Ah wapi Kongosho ametoa taarifa tofauti,lol!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…