Kipima joto cha leo.....

halafu platozoom unajua moyo wangu umekudondokea?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga utakuwa huna hela wewe!:alien:
:A S 465: mbona una majungu sana? afu muulize Asprin kilichompata kwa kunilengeshea kwa Erickb52, PAW atakushughulikia hutoamini! :flypig:usinitaje!
Roulette, siku hizi hatugombei wanaume kabisaa! Ila ukimuona PAW wangu anakufuatilia ujue nimemtuma.:israel:
 
Last edited by a moderator:
Hehehehee King'asti unajifanya unamkinga kifua eeeh
Mi nataka Roulette nimuweke mikononi ili namimi nijidai pasiwe na wa kunigusa...!
Roulette mama....come to ma world nikupe love hadi wanoko washangae....!
Say yes nikupe surprise sasa hivi!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kuna mwanaume mmoja humu ndani kila nikimfukuzia anakwepa, kila nikimtokea anaingia miyini, anaitwa TANMO, tafadhali msaada peleka ujumbe........
Hahahahaaaa TANMO ni mashine sio akina Bishanga wanaolegea kwa kuitwa Sweetie au baby
Hahahaaaa pale ni gang Star hupawezi baki na akina haoooooo!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehee King'asti unajifanya unamkinga kifua eeeh
Mi nataka Roulette nimuweke mikononi ili namimi nijidai pasiwe na wa kunigusa...!
Roulette mama....come to ma world nikupe love hadi wanoko washangae....!
Say yes nikupe surprise sasa hivi!
You people are crazy. Mlivuta nini leo?
 
Nakuonea huruma,subiri BT,Paw na Roulette wakushukie,leo ndo utajua kwa nini kitumbua sio andazi.
 
Last edited by a moderator:
Kama kila kuvuta mtakua mnakurupuka basi hamto fika popote. fateni igeni mfano ya wanao vuta ili kuongeza akili:
Hao wengine wanaziongeza wapi sema hujapata nafasi ya kuwa nao ndio utajua Bange haiongezi akili zaidi ya kumpeleka mtu speed kichwani
Ded wimbo wa Bange wa 20% kama unaujua
 
Hao wengine wanaziongeza wapi sema hujapata nafasi ya kuwa nao ndio utajua Bange haiongezi akili zaidi ya kumpeleka mtu speed kichwani
Ded wimbo wa Bange wa 20% kama unaujua
Kwa hiyo unataka kusema obama dakika tatu mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…