Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Umesema serikali imzime Musiba kwa njia zisizojulikana kwa usalama wa Taifa halafu unagusia CIA na MI6 kama mifano, don't be ridiculous, ongelea mambo yenu ya third world huku kunakonuka damu za raia chini ya mikono ya dola, sio Marekani,sio UK!

It is against Federal Law, ni kinyume cha sheria, kwa serikali ya Marekani ku assasinate mtu yeyote, raia, foreigner , kiongozi wa nchi nyingine, n.k., unless ametangazwa wazi wazi bungeni au na rais kwamba ni adui mpiganaji, enemy combatant!

Kwa hiyo tafadhali tumia mifano ya kwenu huku Burundi, Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Sudan, na kwingine Afrika kuchafu huku kunakovunda damu za wananchi.
Duuuh umetisha mkuu
 
Majuzi Musiba kamtaja huyo Kipilimba "kiaina" kuwa "mkuu wa idara/taasisi nyeti anayempa Membe siri za serikali" (of course it is true lakini Musiba si mtu stahili kusema haya)

I knew it would one day come to haunt them. Walimfuga chatu, wakamlisha sumu ya kutukana #WatuHatari, leo chatu huyo huyo kawageukia wamiliki wake.

View attachment 1152921
Kama nikweli anayosema Musiba na aendelee kusema hata kama ukweli huo unauma La Kama niuongo aache mara moja
 
Wabongo bana eti Musiba ni akili kubwa what a joke...
TISS huwa hawafanyi kazi kwa shinikizo,kuna watu wabobezi na wa ana akili za kutisha
Kama Musiba ana kuudhi mpeleke mahakamani kama membe alivyofanya
 
Ni kweli kabisa mkuu, 2020 ndo mwaka mbaya kuliko miaka yote ya uchaguzi Tanzania.
Hebu vuta hii picha, Mkapa, na Kikwete wanasimama jukwaani ili kumpigia kampeni mgombea Urais wa Upinzani, je? nini kitatokea? Kwa akili ndogo za jiwe anaweza kuamuru wakamatwe au wapigwe shaba, hapo hapo jeshi litachukua nchi na kusimamisha uchaguzi au jeshi litapasuka vipande,team mabeyo, loyal to Mr Stone na team upinzani loyal to wananchi.
Hakika TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu, baada ya jiwe kuteuliwa kugombea urais, Mungu alimwonyesha TB JOSHUA hatima mbaya kabisa ya Tanzania.
Ndipo alipokuja na ndege yake Tanzania, akiwa hana viatu miguuni kama ishara ya kuiteka ardhi ya Tanzania ili isimwage Damu.
Aliongea maneno Mazito sana juu ya nchi
Naskia ana mpango wa kutawala milele ni la kweli hili ?
 
I think point yake ni kuwa haya mashirika makubwa kama CIA ..MI6 na mossad.. wanaonekana kufanya kazi kwa ajili ya taifa. Na mifumo yao ni so closed kias kwamba wanasiasa hwana access na shirika hilo. ( ni ngumu kuwatumia kwa malengo binafsi ya kisiasa)
Unlike them.. TISS imekuwa penetrated na makada.. ndio maana mle sasa hiv wanakaushia masuala ambyo ni threat kwa hii nchi (musiba).
I dont know their work modality.. but if i was kapilimba ningechukua atua.
Umesema serikali imzime Musiba kwa njia zisizojulikana kwa usalama wa Taifa halafu unagusia CIA na MI6 kama mifano, don't be ridiculous, ongelea mambo yenu ya third world huku kunakonuka damu za raia chini ya mikono ya dola, sio Marekani,sio UK!

It is against Federal Law, ni kinyume cha sheria, kwa serikali ya Marekani ku assasinate mtu yeyote, raia, foreigner , kiongozi wa nchi nyingine, n.k., unless ametangazwa wazi wazi bungeni au na rais kwamba ni adui mpiganaji, enemy combatant!

Kwa hiyo tafadhali tumia mifano ya kwenu huku Burundi, Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Sudan, na kwingine Afrika kuchafu huku kunakovunda damu za wananchi.
 
Wewe wa.kumfundusha Kipilimba kazi ?. dunia imekwisha
Kuna ubaya gani akifanya hivyo ilihali anao uelewa unaotoshea? Usiandike kana kwamba Kipilimba alizaliwa akiwa jasusi tayari Bali alifundishwa kazi na kina Membe pia!
Isitoshe, kubali kuwa hakuna binadamu anayejua kila kitu na hata hao maprofesa hujifunza kwa wajinga pia!
 
Inatisha.
poleni sana wana ccm kindakindaki.

nasikia hofu, uoga na mtifuano ambao mwenyekiti wenu wa sasa kausababisha ndani ya chama chenu unatisha sana na haujawahi kutokea tangu tz iingie kwenye mfumo wa vyama vingi.

yajayo yanasikitisha.
 
Hivi kumbe Musiba anawasumbua sana vichwa ehee!! Na kama mkiendelea kumfuatilia, kumzungumzia basi atawatesa sana. Dawa ya mpumbavu ni kumpuuza tu.
Tiss kazi yao ni kutafuta habari popote pale, kuzichambua, na kushauri juu ya hatua za kufanya kwa serikali. Hawakamati,hawpigi, wala kufanya ishu yoyote ya action.....
Labda TISS ya Nyerere & Mwinyi....
 
poleni sana wana ccm kindakindaki.

nasikia hofu, uoga na mtifuano ambao mwenyekiti wenu wa sasa kausababisha ndani ya chama chenu unatisha sana na haujawahi kutokea tangu tz iingie kwenye mfumo wa vyama vingi.

yajayo yanasikitisha.
CCM kama si chama chako achana nayo. Ya CCM yanakuhusu nini?
 
CCM kama si chama chako achana nayo. Ya CCM yanakuhusu nini?
sisi wengine huwa tunafurahi sana tunapoona wana ccm mnararuana wenyewe.

musiba chochea chochea baba. wapenda mageuzi tupo nyuma yako..wanyoshe wanyoshe.
 
Unajua chief . Hii ishu ni complicated kidogo. Yaan ni kwamba akifanya kazi against bossi wake kimya kimya ujue boss wake atajua kwa vyovyote.. na akijua bossi atrudi. The way ninavyoona kapilimba amefungwa mikono.. lets say labda akimuondoa musiba wkt musiba amewekwa na boss.. boss atajua muhusika atamrudi.
He has to come with smartway ya kutekeleza plan zake
Huyu Mzee anashindwa kujua kazi za kijasusi wakati mwingine unafanya kimya kimya kinyume na bosi wako kwa maslahi ya taifa na wala asijue ,sasa yeye sijui anangoja nini kutoa magugu .
 
Anamuweza lakin atageuzwa sadaka. Kwanini? Well kwasababu activity yoyote itakayofanyika na Tiss report lazima irudi kwa rais ambae kimsingi ndio sponsor wao.
So yes namuona kapilimba akiwa kwenye tight situation. The way president anaendesha serikal ukimgusa musiba.. then kapilimba itabid atoe majib since yeye atakuwa anajua wahusika. Na kama ni vijana wake.. basi atakuwa responsible.

Unless musiba ni plan ya kapilimba mwenyewe.
Anamuweza vizuri tu, achana na intelligence mkuu, kumbuka kuwa TISS ndo inamlinda Rais
 
Instead of kujib mipasho , ungeji fact ambazo zime focus kwenye hoja.
Kipilimba is there to stay, mtabwata na kuhara sana nyie bata bukini!!. Mwenye shida na Musiba, the court doors are open for you!. Kipilimba Kipilimba Kipilimba kila saaa, wehu nini nyie!? You have no chance awamu hii kubalianeni tu na hali halisi!
 
Ni kweli kabisa mkuu, 2020 ndo mwaka mbaya kuliko miaka yote ya uchaguzi Tanzania.
Hebu vuta hii picha, Mkapa, na Kikwete wanasimama jukwaani ili kumpigia kampeni mgombea Urais wa Upinzani, je? nini kitatokea? Kwa akili ndogo za jiwe anaweza kuamuru wakamatwe au wapigwe shaba, hapo hapo jeshi litachukua nchi na kusimamisha uchaguzi au jeshi litapasuka vipande,team mabeyo, loyal to Mr Stone na team upinzani loyal to wananchi.
Hakika TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu, baada ya jiwe kuteuliwa kugombea urais, Mungu alimwonyesha TB JOSHUA hatima mbaya kabisa ya Tanzania.
Ndipo alipokuja na ndege yake Tanzania, akiwa hana viatu miguuni kama ishara ya kuiteka ardhi ya Tanzania ili isimwage Damu
.
Aliongea maneno Mazito sana juu ya nchi
Hapo kwenye red umenitoa tongotongo mkuu
 
I think point yake ni kuwa haya mashirika makubwa kama CIA ..MI6 na mossad.. wanaonekana kufanya kazi kwa ajili ya taifa. Na mifumo yao ni so closed kias kwamba wanasiasa hwana access na shirika hilo. ( ni ngumu kuwatumia kwa malengo binafsi ya kisiasa)
Unlike them.. TISS imekuwa penetrated na makada.. ndio maana mle sasa hiv wanakaushia masuala ambyo ni threat kwa hii nchi (musiba).
I dont know their work modality.. but if i was kapilimba ningechukua atua.

Quite the opposite.

Taasisi za kijasusi za nje huko ndio ziko accessible, transparent, subordinate and answerable to politicians. Mkurugenzi wa CIA kila siku yuko bungeni anahojiwa kwenye live Television, ikifika suala la siri wanasema hilo la chemba, wanatoka nae chemba anaenda kuwekwa kiti moto chemba. Hakuna siri ya nchi ambayo raia kupitia wabunge hawajui!

Hapa kwetu kazi hiyo ilikuwa ya Edward Lowassa akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora, Mambo ya Nje, Mambo ya Ulinzi na mambo yote yanayotisha tisha. Alipotoka CCM akaanza kulia na yeye kama sisi raia wa mtaani kwamba anawindwa, halindwi, kuna njama dhidi yake, anatiwa ufukara... Wewe si ulikuwa bosi wa TISS bungeni, wataje wavunja sheria, sema wanafanyaje, na kwa nini hukuboresha hiyo taasisi au ulikuwa unanyimwa documents za clandestine operations na hujui chochote cha TISS??? Viongozi wa Afrika so useless...

Wanasiasa wa Tanzania hawana access, influence, oversight, or power over Usalama wa Taifa isipokuwa Ikulu tu!

Ndio maana wakitaka, kama alivyosema Nyerere, Ikulu ikiamua inaweza kuua yeyote na hakuna maswali!

Tupinge mfumo huu. Leo ni Musiba, tunasema serikali imuue kwa sababu anachafua Wastaafu, anahatarisha taifa (sasa sijui ukimchafua Membe na Ridhiwani na Jakaya watapindua nchi??? sielewi). Kesho anaweza kuwa mbunge wako anakosoa serikali, wao wakaona anahatarisha Usalama wao madarakani, sasa wakimshuti nje ya bunge tusilalamike kwa sababu ni sisi wenyewe tumewapa leseni ya kuua raia ambae wao wataona anatarisha usalama kwa tafsiri yao wao - bila kupitia mahakamni - kutuambia usalama wa Taifa ni nini na amehatarishaje.
 
Kuwa kiongozi wa idara Tanzania ni very simple, unakaa tu kwa ofisi na kuanza kuhoji waliochini yako
 
Nimependa your approach. Still my question is how comes watu wa ccm wanaoneakana kuwa na control over hiki chombo?
Maybe Tiss wkt wa nyerere walikuwa so professinal. Interest za taifa ziliwekwa mbele.. lakin leo hii even president ambaye ni mwenye kiti wa chama sometimes ana allow hivi vitu.

Solution ili ku minimize access hizi.. kwanzamwenyekiti wa chama asiwe rais . Rais awe mjumbe tu.
Mwenye kiti wa chama asiwe na cheo chochote sierikalini. Nilichoona hata polisi wenye wanashindwa kufaham ni wkt gani rais anaongea kama mwenyekiti wa chama.. au rais wa nchi. Ndio maana kila order wao wanafanya hata kama ni kwa manufaa ya ccm na si nchi.

We need changes and yes.. nakubaliana na point yako ya mwisho kuwa huu mfumo lazima ifutwe else... hata kikishika hatam chama kingine watakuwa na control over security forces.. hiyo kitu inatakiwa isiwepo.
Quite the opposite.

Taasisi za kijasusi za nje huko ndio ziko accessible, transparent, subordinate and answerable to politicians. Mkurugenzi wa CIA kila siku yuko bungeni anahojiwa kwenye live Television, ikifika suala la siri wanasema hilo la chemba, wanatoka nae chemba anaenda kuwekwa kiti moto chemba. Hakuna siri ya nchi ambayo raia kupitia wabunge hawajui!

Hapa kwetu kazi hiyo ilikuwa ya Edward Lowassa akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala Bora na Mambo ya Nje. Alipotoka CCM akaanza kulia na yeye kama sisi raia wa mtaani kwamba anawindwa na serikali, kuna njama dhidi yake za kumtia ufukara. Wewe si ulikuwa bosi wa TISS bungeni, wataje wavunja sheria, sema wanafanyaje, na kwa nini hukuboresha hiyo taasisi au ulikuwa unanyimwa documents za clandestine operations na hujui chochote cha TISS??? Viongozi wa Afrika so useless yani...

Wanasiasa wa Tanzania hawana access, influence, oversight, or power over Usalama wa Taifa isipokuwa Ikulu tu!

Ndio maana wakitaka, kama alivyosema Nyerere, Ikulu ikiamua inaweza kuua yeyote na hakuna maswali!

Tupinge mfumo huu. Leo ni Musiba, tunasema serikali imuue kwa sababu anachafua Wastaafu. Kesho anaweza kuwa mbunge wako anakosoa serikali, wao wakaona anahatarisha Usalama wao madarakani, sasa wakimshuti nje ya bunge tusilalamike kwa sababu ni sisi wenyewe tumewapa leseni ya kuua raia ambae wao wanaoa anatarisha usalama kwa tafsiri yao wao - bila kupitia mahakamni - Usalama wa Taifa ni nini na amehatarishaje.
 
Back
Top Bottom