Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

huyo bosi yuko kwapani kwa mheshimiwa kwasasa wako chato, kwa kifupi inaonekana mheshimiwa hamwamini kumwacha ofisini.
Kila sehemu yuko naye. Sasa unajiuliza anakuwa briefd saa ngapi? Anashiriki kujadili na kutoa maamuzi saa ngapi.
 
Huyu Kapilimba mwenyewe tu yuko nyuma ya huyo Musiba.

Awamu ya nne, Alikuwapo kijana mwingine, Paul Makonda, yeye alifikia hatua ya kumpiga waziri Mkuu Mstaafu, Jaji na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, na hata huyo Kikwete hakuweza kumfanya kitu sana sana akampumzisha kwa kumpa ukuu wa wilaya.

Huko nyuma walikuwa wakitumika watu wazima kidogo, Alikuwapo Augustino Ryatonga Mrema awamu ya Pili, huyu yeye kupumzishwa akapewa mpaka unaibu waziri mkuu. nadhani it was too big for him akamshika sharubu aliyekuwa nyuma yake, lakini hakuwahi kufanywa jambo lolote kama unavyotegemea musiba kufanywa.

Awamu ya Kwanza alikuwapo Edward Sokoine, Apumzike salama.

wote hawa ni wasema hovyo, you need to have these kinds of people, they are quite useful. wanaujasiri kama wa Simba.
 
Majuzi Musiba kamtaja huyo Kipilimba "kiaina" kuwa "mkuu wa idara/taasisi nyeti anayempa Membe siri za serikali" (of course it is true lakini Musiba si mtu stahili kusema haya)

I knew it would one day come to haunt them. Walimfuga chatu, wakamlisha sumu ya kutukana #WatuHatari, leo chatu huyo huyo kawageukia wamiliki wake.

View attachment 1152921
evarist chahali hujaandika muda mkuu.nilikuwa natamani sana kusikia haya toka kwako. ahsante
 
Kipilimba is there to stay, mtabwata na kuhara sana nyie bata bukini!!. Mwenye shida na Musiba, the court doors are open for you!. Kipilimba Kipilimba Kipilimba kila saaa, wehu nini nyie!? You have no chance awamu hii kubalianeni tu na hali halisi!

Kwa povu hili ww utakuwa ni mchepuko wake.
 
Ni kweli kabisa mkuu, 2020 ndo mwaka mbaya kuliko miaka yote ya uchaguzi Tanzania.
Hebu vuta hii picha, Mkapa, na Kikwete wanasimama jukwaani ili kumpigia kampeni mgombea Urais wa Upinzani, je? nini kitatokea? Kwa akili ndogo za jiwe anaweza kuamuru wakamatwe au wapigwe shaba, hapo hapo jeshi litachukua nchi na kusimamisha uchaguzi au jeshi litapasuka vipande,team mabeyo, loyal to Mr Stone na team upinzani loyal to wananchi.
Hakika TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu, baada ya jiwe kuteuliwa kugombea urais, Mungu alimwonyesha TB JOSHUA hatima mbaya kabisa ya Tanzania.
Ndipo alipokuja na ndege yake Tanzania, akiwa hana viatu miguuni kama ishara ya kuiteka ardhi ya Tanzania ili isimwage Damu.
Aliongea maneno Mazito sana juu ya nchi

Mkuu ninapenda michango yako, ila hapo ulipomuingiza huyo tapeli TB Joshua Kama reference ya mada yako nimeona umepotea. Bado unaamini hayo matapeli yanayojifanya manabii?
 
Kuna ubaya gani akifanya hivyo ilihali anao uelewa unaotoshea? Usiandike kana kwamba Kipilimba alizaliwa akiwa jasusi tayari Bali alifundishwa kazi na kina Membe pia!
Isitoshe, kubali kuwa hakuna binadamu anayejua kila kitu na hata hao maprofesa hujifunza kwa wajinga pia!
Ila Kipilimba hawezi funzwa na huyu maamuma katika nyaja ya usalama ,impossible !
 
Umesema serikali imzime Musiba kwa njia zisizojulikana kwa usalama wa Taifa halafu unagusia CIA na MI6 kama mifano, don't be ridiculous, ongelea mambo yenu ya third world huku kunakonuka damu za raia chini ya mikono ya dola, sio Marekani,sio UK!

It is against Federal Law, ni kinyume cha sheria, kwa serikali ya Marekani ku assasinate mtu yeyote, raia, foreigner , kiongozi wa nchi nyingine, n.k., unless ametangazwa wazi wazi bungeni au na rais kwamba ni adui mpiganaji, enemy combatant!

Kwa hiyo tafadhali tumia mifano ya kwenu huku Burundi, Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Sudan, na kwingine Afrika kuchafu huku kunakovunda damu za wananchi.
Sio kweli uliyoyaandika kiongozi, sio kweli kabisa. Yaani umeandika kitu ambacho ndicho marekani inataka ujue ama raia wajue. Lakini Kuna covert operation nyingi tu za kuondoa watu wabaya, wakiwemo wamarekani na wasio wamarekani bila approval ya vyombo ulivyotaja, hususani Bunge la Marekani. Na Kuna operation zinafanyika bila knowledge ya Rais au Senate.

Kwa ufupi, umeongea kwa kuzingatia Katiba ya USA Inavyoelekeza, lakini uhalisia ni tofauti sana.
 
Wanavuna walichopanda...

Yupo kwa kazi maalum... kuvuruga watu... akiwa na baraka zote kutoka kwenye system...


Cc: mahondaw
 
'wakati wa kwenda motoni, baada ya shetani, atakae fuatia ni mwana siasa'. hakika maneno haya hunichekesha niyasikiapo kwenye tv. mwana siasa yupo tayari kuangamizi jamii au hata taifa kukidhi mafanikio yake.
 
hapa washington,kama unatishia usalama si lazima Trump atoe ok,unaweza kuzimishwa na CIA,NSA,military Intelligence,wanaweza kutumwa Mafia wafanye kazi,wanaweza kutumwa Private assassin,sio lazima operation iipewe ok na mkurugenzi mwenyewe,some element ndani ya hayo mashirika wanaweza kukudhibiti,the only thing wanaogopa ni kukwamatwa na FBI,that is way ili kumaintain plausible denialbility watatumia vikundi vya kihalifu kufanya kazi au private assassin
 
Mnajuwa vijana hamjuwi kile kinaendelea ktk siri ila mnakuja hapa nakujifanya mnajuwa sana idara hii nyeti ya taifa nadhani tukakojowe then tukalale. Eti kama mossa au M16 au CIA nasema pambafu ukalale. Huzijuwi hizi idara nakama ungezijuwa usi weza fungua domonakuandika upupu kama hu u. Mm sio idara ile ila nataka kukuambia hujuwi ulisemalo sana sana unataa tu watu wakutoe kucha bila sababu
 
Musiba kikubwa anachofanya ni kuwabomoa wote wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi kwa tiketi ya CCM ndio lengo lake kuu. Kuwabomoa wao na wote anaohisi kuwa ni watu wao wa karibu na kubomoa anayohisi Ni mitandao yao. Hao wanaoonekana kuwa waweza kuwa wagombea uraisi ndio lengo na mkakati wake. Kwanini anawalenga hao, sijui ila sidhani Kama ni sahihi.

Kama Kuna mtu kamshauri Musiba atumie strategy hiyo kakosea Sana Tena Sana na end result mwisho wa siku itakuwa Sio nzuri.

Kuna msemo usemao ukiona Kobe kanyamaza kimya ujue anatunga Sheria.
Ukitumia akili huwa unaandika vizuri sana ila ukitumia masaburi
 
Back
Top Bottom