Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Haipaswi kutumia nguvu nyingi kutoka kwa askari kwa watu wasio na silaha. Huwa nikiona namna askari wa kibeberu anavyomtoa shabiki anayevamia uwanja huko ubeberuni najisemea tu kuwa ingekuwa huku kwetu..shabiki huyo si angeenda kulazwa kabisa. Weledi ubaki weledi na siasa zibaki siasa.
 
Afrika siasa ndiyo kila kitu aisee

In God we Trust
 
Back
Top Bottom