Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kila nikiangalia hii picha ya x-ray najisikia natetemeka. Tazameni jinsi mhe Halima Mdee walivyo mvunja mkono hapo kwenye picha chini.

Huu ni zaidi ya ukatili ulio putiliza jamani watanzania wenzetu.
View attachment 1388478

In God we Trust
ah kumbe ni vijifupa vya mkono tu nndio vimevunjika! Mie nilijua ni vya shingo kabisa! Wakome kupeleka siasa kwa wazee wa kazi! Siku nyingine haitakuwa mkono, itakuwa shingo!

Hizo siasa za fujo na mihemko hazijawahi kumwacha mtu salama! Asiyefunzwa na mama-e hufunzwa na mabingwa wa magereza!

Kiherehere tu eti tukampokee bingwa, eeh mmepata kipigo cha mabingwa wenyewe sio feki na sasa mmetulia!
 
Police walipanga kuwaua chadema.. na ndio maana intelligencia ya chadema umeshauri mkutano wa mbowe uahirishwe.

Kila nikiangalia hii picha ya x-ray najisikia natetemeka. Tazameni jinsi mhe Halima Mdee walivyo mvunja mkono hapo kwenye picha chini.

Huu ni zaidi ya ukatili ulio putiliza jamani watanzania wenzetu.
View attachment 1388478

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya magu imechafuka sana, askari wanafanya uhuni huku wizara ikiangalia tu.Simbachawene Ni zero Mara 10 ya lugola..
 
Uwezo wako wa kufikiri ni 0 hivyo sijisumbui kwako
ah kumbe ni vijifupa vya mkono tu nndio vimevunjika! Mie nilijua ni vya shingo kabisa! Wakome kupeleka siasa kwa wazee wa kazi! Siku nyingine haitakuwa mkono, itakuwa shingo! Hizo siasa za fujo na mihemko hazijawahi kumwacha mtu salama! Asiyefunzwa na mama-e hufunzwa na mabingwa wa magereza! Kihelehele tu eti tukampokee bingwa, eeh mmepata kipigo cha mabingwa wenyewe sio feki na sasa mmetulia!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom