Je, Simba wataachana na Clatous Chama?

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Wakuu,

Wakati taarifa zikieleza kuwa Mchezaji ‘KIRAKA’ wa Simba SC, Nassoro Kapama akiwa katika hatua za mwisho kutemwa na uongozi wa klabu hiyo, Leo Jumatano (Januari 03) kutafanyika kikao cha kuwajadili pamoja na mwenzake Clatous Chama.

Wawili hao walisimamishwa na uongozi kutokana na kile kinachodaiwa walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu, hivyo leo ndiyo hatima rasmi itafahamika kama wanarudi kikosini au wanaondolewa jumla

Hata hivyo, kutokana na Chama kuwa nchini kwao Zambia na timu ya Taifa ya nchi hiyo inayoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika ‘AFCON 2023’ kikao hicho kitafayika kwa kutumia teknolojia ya video ya Zoom.

Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya Simba SC, kinasema: “Simba kwa sasa inahitaji nidhamu kwa kila mfanyakazi, ili kurejea kwenye ushindani na uwanjani kuonyesha kiwango cha juu, kitakachowapa mashabiki furaha na siyo vidonda vya tumbo.

Angalau ujio wa kocha unaanza kuwarejesha kwenye mstari, sasa hatutaki ndani ya timu kusikike mara mchezaji huyu kafanya hivi, mara yule kile, hayo kwa sasa yanakwenda kufikia mwisho.”

Kuhusu Chama, Leo Jumatano kikao kitaamua kama msimu huu uwe wa mwisho kwake baada ya kutumikia timu hiyo tangu alipojiunga nayo msimu 2018, akitokea klabu ya Power Dynamos na baadae kutimkia RS Berkane na hakuchukua muda akarudi tena Tanzania, sijafahamu nini kitatokea, tusubiri tuone.

Wakati huo huo, baada ya kumaliza kikao cha kuwajadili Chama na Kapama ambaye chanzo kinasema tayari kwa asilimia kubwa hana maisha ndani ya timu hiyo na leo ni kama kumalizia tu, kamati ya usajili itakutana kujadili ni wachezaji gani wanapaswa kuwaongeza na kuwaondoa ndani ya timu.

“Kabla ya dirisha kufungwa kila kitu kitakuwa sawa, pia watakaondoka tunatoa nafasi ya wao kusaka timu za kuzichezea mapema,” amesema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCC anawaambia wafanye mapema maamuzi kabla dirisha dogo kuisha.....
 
Mbona Viongozi wanaoleta wachezaji wabovu na kununua wachezaji wazee(wa kustafia Simba) hatuoni wakisimamishwa au kujadiliwa janja janja Yao.?Simba inajiita timu kubwa ila viongozi hadi Leo wameshindwa hata kusimamia na kuhimiza mashabiki kuchangia hata uwanja wa timu siyo wa mazoezi.Simba anzeni na Viongozi ndiyo mje Kwa wachezaji mkitaka kuifanya Simba imara.
 
Hapo pia umeongea point mkuu

Hii ni hoja ijadiliwe.
 
Ngoja nichekee... Kwa mpira wa Tz chama hata akimtukana Try again hawezi kuachwa kwa kipindi hiki!, Wanajua kabisa akiachwa piga ua lazima yanga wamsajili iwe yupo au haihitaji na malengo ya kocha. "Siasa za mpira wa bongo ni hatarii", ndio maana chama anaweza kufanya lolote hapo Simba wakaishia kukalishana vikao tu. Chama ataachwa ma Simba Ila sio kwa msimu huu wala dirisha hili. Simba hawana uthubutu wakuacha wachezaji wao kibabe it's only Young Africa.... Saido, Djuma, Yannick Bangala....
 
Hakuna Kiongozi yoyote anayeweza thubutu si kumfukuza tu ata kumsimamisha mechi zaidi ya Moja.

Ukweli ni kwamba Simba ya Sasa ni mbovu kuliko zilizo pita, kitendo Cha kumsimamisha Chama zaidi ya mechi Moja utakua ni msiba ambao utaondoka na Kiongozi,/viongozi.
Labda wamsimamishe wakiwa Wana hesabu na izi mechi za mapinduzi cup ambazo hayupo kwa bongo ilo linawezekana.
Kwenye maamuzi magumu kunatofauti kubwa Sana kati ya Yanga na Simba.
 
Wakuu,

Wakati taarifa zikieleza kuwa Mchezaji ‘KIRAKA’ wa Simba SC, Nassoro Kapama akiwa katika hatua za mwisho kutemwa na uongozi wa klabu hiyo, Leo Jumatano (Januari 03) kutafanyika kikao cha kuwajadili pamoja na mwenzake Clatous Chama.

Wawili hao walisimamishwa na uongozi kutokana na kile kinachodaiwa walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu, hivyo leo ndiyo hatima rasmi itafahamika kama wanarudi kikosini au wanaondolewa jumla

Hata hivyo, kutokana na Chama kuwa nchini kwao Zambia na timu ya Taifa ya nchi hiyo inayoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika ‘AFCON 2023’ kikao hicho kitafayika kwa kutumia teknolojia ya video ya Zoom.

Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya Simba SC, kinasema: “Simba kwa sasa inahitaji nidhamu kwa kila mfanyakazi, ili kurejea kwenye ushindani na uwanjani kuonyesha kiwango cha juu, kitakachowapa mashabiki furaha na siyo vidonda vya tumbo.

Angalau ujio wa kocha unaanza kuwarejesha kwenye mstari, sasa hatutaki ndani ya timu kusikike mara mchezaji huyu kafanya hivi, mara yule kile, hayo kwa sasa yanakwenda kufikia mwisho.”

Kuhusu Chama, Leo Jumatano kikao kitaamua kama msimu huu uwe wa mwisho kwake baada ya kutumikia timu hiyo tangu alipojiunga nayo msimu 2018, akitokea klabu ya Power Dynamos na baadae kutimkia RS Berkane na hakuchukua muda akarudi tena Tanzania, sijafahamu nini kitatokea, tusubiri tuone.

Wakati huo huo, baada ya kumaliza kikao cha kuwajadili Chama na Kapama ambaye chanzo kinasema tayari kwa asilimia kubwa hana maisha ndani ya timu hiyo na leo ni kama kumalizia tu, kamati ya usajili itakutana kujadili ni wachezaji gani wanapaswa kuwaongeza na kuwaondoa ndani ya timu.

“Kabla ya dirisha kufungwa kila kitu kitakuwa sawa, pia watakaondoka tunatoa nafasi ya wao kusaka timu za kuzichezea mapema,” amesema

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha chama gani mkuu. CUF au CDM?
 
Kwa jinsi nilivyo iona mechi ya jana Chama wa mvumilie mpaka msimu uishe, kwani kwa sasa hawana namba kumi nyingine zaidi ya Chama au wasajili namba kumi nyingine ambayo uwezo wake unakaribiana au umzidi Chama.Ila kW dirisha dogo ni ngumu kupata wachezaji wazuri.
 
Back
Top Bottom