Kipigo cha Dk. Ulimboka chazua balaa tiGO

Habari za kuaminika toka ndani ya uvungu wa kampuni ya simu ya tigo, limeingia hatua nyingine baada ya wafanyakazi wake wanasadikika kufukuzwa wakidaiwa kutoa information za mawasiliano aliyoyafanya Dr Ulimboka na watekaji wake kwa Saed Kubenea, kazi hii imefanywa kwa ufasaha mkubwa sana na makachero nchi wanaofanya kazi ndani ya kampuni na wengine walionje ya kampuni, hii inasikitisha sana,

serikali inahusika moja kwa moja juu ya hili sakata! lakin naomba mtambue mwisho wa haya yote u karibu sana!
kama hali ndo hii kweli tumeisha!!!! sijui nihame kabisa hili limtandao!!!
 
Mbona naskia Tigo wameshauza shares kibao, wapo wapo tu saa hzi??/
 
Kimbembe kwa tigo ni mwanzo tu, adabu itaendelea kutolewa kwa wale wote wenye tabia za umbeambea. Chezea ingine si magogoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom