Kipigo cha Dk. Ulimboka chazua balaa tiGO

Kwa kuwa wameondolewa sasa watasema mengi ushauri wangu ni kwamba kama ilivyokuwa kwa yule polisi wa Moro , MwanaHalisi na Ulimboka sasa wajiandae hasa maana ni kuumizana ndiyo next .Na kwenye daftari za kura watamkaba Tendwa au ?
 
ningependa kupata majina yao na anuani zao ili nifualilie usalama wao kila mwaka wasije wakadhuriwa kama dr ulimboka.

Afu baadae watajinyonga magoti yakiwa yamejikunja kama yule wa morogoro juzi,afu Juma Mgaza akae standby kuokota watu msitu wa pande!
 
wamechelewa sana....tulishalisoma na kuupata ujumbe uliokusudiwa...serikali inajaribu kikimbia kivuli chake....
......tigo wamechemsha...hata wakiajiri wapya nao watavujisha tuu.....kwa sasa hata sisi raia tuna usalama wetu wa taifa... wao wana tegemea TISS....sisi tuna wakwetu
 
Pole sana mliofukuzwa. Naamini hamna kosa na si nyote bali hii ni amri kutoka kwa wakubwa. Hizi zote ni dalili tosha za CCM, Usalam wa CCM na PoliCCM kuendeleza chuki
kwa Watanzania. Naamini mtandao wangu wa TIGO ambao tayari umenichefua kwa taarifa hii umeshinikizwa kuimaliza serikali. Ulimboka badao anaumiza watu wengi, hilo halijapoa mmefungia Mwanahalisi gazeti no 1 kwa Watanzania (zaidi 80%wanaipenda na kulitumia kama kitabu chao cha kiada cha kila J5), haijasahulika mnafukuza wasomi 30!!!!! hawa nao wanawafasi wao...........!

Napenda kutoa ushauri wa bure kwa tigo na mitandao ya simu yote, wapiganaji hawaishi. Kesho mtaitisha Interview na watakaoingia watakuwa ni moto zaidi, watalisaidia taifa.

kwataarifa yenu, serikali hii inachukiwa kuliko serikali zote zilizowahi kuwepo Tanganyika na Tanzania. Linalotakiwa ni kufanya kazi na si kutafuta mchawi.
 
Tuwaombe wakinga wamlipizie kisasi Ulimboka kwaku fyagia wahusika wote waliotekeleza na waliotoa amri. Hawa jamaa mi nawaaminia sana hasa kuadhibu waonevu na dhulumati.
 
Dawa ni kubadili serikali(chama),yan wanashndwa kusovu matatizo ya wafanyakaz matokeo yake wanawateka na kuwatesa watu!
 
hivi jamani imeshindikana kurudisha ule uzi wa ile makala humu jf?mod mwongozo plz!!! mimi hadi leo gazeti lile ninalo kwenye hardcopy na soft copy nimeinstall kwenye ubongo,wakiniformat ubongo nasoma tena,ivo hivo hadi mwisho wa filamu.
 
MwanaHALISI limegundua kabla ya Dk. Ulimboka kutekwa, Rama alianza kufanya mawasiliano naye saa 12: 25 jioni. Mawasiliano hayo yaliendelea 3:29 usiku, saa 4: 52, saa 5: 27, saa 5:40 na mwisho ilikuwa saa 5:52 usiku.

•MwanaHALISI limegundua kuwa siku mbili kabla ya Dk. Ulimboka kufanyiwa unyama huo (24 Juni 2012), simu ya Rama iliingizwa salio la Sh. 252,849. Hili ni salio kubwa pekee kuingizwa kwenye simu hiyo tangu mwanzo wa mwaka huu.

Nyaraka zinaonyesha tarehe 4 Mei 2012 simu ya Rama iliwahi kuishiwa salio kabisa hadi kufikia kiwango cha Sh. 1.

Duu, much appreciated Mkuu!!

Duh!!!! ama kweli kwa data hizi nchi sasa yaweza kuwa na majasusi wa ukweli teh teh teh teh
 
These guys have no choice but to resort to this work we did as temporary jobs whilst awaiting to join form 6 enzi zetu

Na huo ndio udhaifu alioamua kuuexploit Kubenea kwa kuwahadaa hawa kwa vipesa kidogo bila kujua wanahatarisha ajira zao. Wakijua kuwa Kubenea alikuwa anawatumia tu kwa kufanikisha maslahi yake watakosa sababu ya kumdhuru huyu Kubenea?
 
Ramadhani Ighondu,
Nickname: Rama
Born: 28.08.1978
Place: Makole – Dodoma
Voter Registration Card: 49406879
Mobile Number: 0713 760473

Inamaana hawa tIGO wanatunza na daftari la kudumu la wapiga kura siku hizi?
 
Na huo ndio udhaifu alioamua kuuexploit Kubenea kwa kuwahadaa hawa kwa vipesa kidogo bila kujua wanahatarisha ajira zao. Wakijua kuwa Kubenea alikuwa anawatumia tu kwa kufanikisha maslahi yake watakosa sababu ya kumdhuru huyu Kubenea?

Ok let's say they can...but je huyu bwana Ramadhani Ighondu(sp) pia hawezi kumdhuru Kubenea kwa kumuanika ?,
 
Ok let's say they can...but je huyu bwana Ramadhani Ighondu(sp) pia hawezi kumdhuru Kubenea kwa kumuanika ?,

Ramadhan hakuna kitu ambacho Kubenea kamuanika, jina lake limetajwa zaidi kwenye stori za kina Slaa na Mnyika, namba yake ilitajwa na Ulimboka so hakuna ambacho kubenea anaweza kujisifu nacho labda kuvunja sheria kwa kuanika mawasiliano binafsi.
 
Huyu jamaa amesingiziwa.haiwezekani mtu atumie jina lake halisi na namba alizosajili kumpigia mtu then amteke.huu ni uzushi mtupu
 
Sasa si wampeleke kubenea mahakamani awape chanzo cha data zake!!!!!!halafu upande wa mashahidi atakuwepo zoka,yule daktari aliyekuwa na ulimboka ambaye hajahojiwa na wote waliotajwa namba zao, ukweli woooooote utakuwa hadharani.hili la kuwafukuza wafanyakazi wa tigo au nec waliotoa taarifa ni kuwaonea tu.

Kigugumizi cha nini?????watu wazima tushaelewa somo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom