Kipi sahihi kuwa na fundi mmoja permanent ama kubadilisha mafundi.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,102
Reaction score
14,024
Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service.

Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi mmoja ama kubadilisha?
 
Ni kweli inawezekana lakin ni vyema ungeweka service gani unayo hisi anapiga kwa kutokua mzoefu
 
Tafuta fundi mwingine kama huyo umeshamtilia wasiwasi
 
Kwa unyenyekevu mkubwa,,,,,

Achana na pkpk ndugu ,,,,,
 
Back
Top Bottom