kipi raha jamani kupendwa?kupenda?

kipi raha jamani kupendwa?kupenda?

Haha... hiyo ya nyuma ya kiibodi...
Btw, wapi pacha wako? Tangu turudi toka paris kula maraha simuoni tena!

pacha yupo bz kidogo, halafu unatabia mbaya sana, ndio nini mkaniacha?
 
napenda kupendana ila anayekupenda asikupende kinafki.akupende kama kiwatengu anavyonipenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom