Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

Hey Jamii.

Jamani kwa wanaojua mambo ya Website, niliamua kuanzisha site yanngu bila experience yeyote before,nimeleta kwenu kwa wenye weledi zaidi mnisaidie kupitia kwenye site yangu labda kuna kitu unaweza kunipa ushauri ni kitu gani kimekosa au kuzidi kwenye site yangu inaitwa wajasiriamali.com

Ntashukuru kwa muda wako
Wengi wamesema kuhusu kuresponsivika kwa site yako yaani mobile first site.
Mimi nasema kuhusu content zako hazikupangiliwa kimtiririko yaani ni ngumu kujua nisome wapi nikimaliza niende wapi.
Kama inawezekana tumia WordPress theme nyingine acha kuangaika.

Kingine ni kuwa web nyingi ambazo sio responsive(mobile first site) ndo Zina watembeleaji wengi kuliko hizo responsive hii haimaanishi usirekebishe ui bali mpangilio wa maudhui yako
 
Ni kweli umeongea point na hilo mimi najua kabisa haipo kwenye mpangilio ila hii kazi naimaliza leo ndo narekebisha kila ktu nitarudi kukuomba uangalie tena
 
Wengi wamesema kuhusu kuresponsivika kwa site yako yaani mobile first site.
Mimi nasema kuhusu content zako hazikupangiliwa kimtiririko yaani ni ngumu kujua nisome wapi nikimaliza niende wapi.
Kama inawezekana tumia WordPress theme nyingine acha kuangaika.

Kingine ni kuwa web nyingi ambazo sio responsive(mobile first site) ndo Zina watembeleaji wengi kuliko hizo responsive hii haimaanishi usirekebishe ui bali mpangilio wa maudhui yako

unaweza tena kupitia mkuu kuangalia nilipoishia
 
Wengi wamesema kuhusu kuresponsivika kwa site yako yaani mobile first site.
Mimi nasema kuhusu content zako hazikupangiliwa kimtiririko yaani ni ngumu kujua nisome wapi nikimaliza niende wapi.
Kama inawezekana tumia WordPress theme nyingine acha kuangaika.

Kingine ni kuwa web nyingi ambazo sio responsive(mobile first site) ndo Zina watembeleaji wengi kuliko hizo responsive hii haimaanishi usirekebishe ui bali mpangilio wa maudhui yako
Nafikiri jibu sahihi linategemea website yake Ina target watu gani

Kwa website yenye content Kama yake(Ujasiria Mali) traffic kubwa itatoka kwa mobile devices

Hivyo UI&UX kwa both devices haikwepeki

Namshauri atafute partner ambaye ni mzuri kwenye front end wapige nae kazi
 
Una msaidia vipi Mtu anayehitaji msaada wa programming bila kuona codes zake?

Unajua hata maana ya Cpanel?
You're a new account with less than 10 postings. Why should someone hand you over their login credentials? What's stopping you from deleting everything once you login into cPanel?

Go ahead, nielezee maana ya Cpanel, naweza kujifunza kitu kipya.
 
You are so paranoid Mr.
You have programmed your brain to imagine only worst outcome.

Bill gates Angekuwa Kama Wewe kusingekua na Window 10...

Share your source codes..so others developers can improve them

Codes sio formula ya Coca-Cola kusema itaibiwa......after all mleta mada Ana project ipi kubwa ya kufanyiwa icho unachohisi?
 
Can you share with me your login credentials? I'll help you improve the site you're working on by 10x
 
Less is more mkuu. Umeweka mambo mengi mpaka mtumiaji anasahau anatafuta nini kwenye hiyo website. Uandishi pia mbovu sana, fonts hazivutii na layout haieleweki. Hii ni kutokana na kufanya Web Development bila kuwa na an end goal in mind. Ukiweza pitia stages za SDLC kuanzia mwanzoni ili ujue nini unataka watumiaji wakipate kutoka kwenye website yako. Ifanye iwe na ushawishi kwa yule atakayeifungua. Naipa 1/10.
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom