Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

Mtu anaweza kunijuza jua yahaya maswali tafafhali
1. Kwamtu ambaye sio fundi wala programa inawezekana akamiliki website au blog? Kma inawezekana uendeshwaji wake niinakuaje
2. Nimalipo kias gani inahitajika kulipa kwaserikal?
3.inaweza kunigarimu kias gani kupata website iliokamilika kabisa ambayo itajihusisha nautoaji elimu fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kumiliki mkuubila uendeshaji wake endelea kujifunza mambo mapya yanayihusu website

Hii mambo ni lazima ikiwa unafanya ktu kinakuingizia kpato lazima uwe unalipa kodi.mfano unauza vitu online lazma kodi ihusike.

Gharama zake zinategemea na maitaji yako,.
 
Maana web inaweza kuwa ina lengo moja ila uendeshaji tofauti
 
Mtu anaweza kunijuza jua yahaya maswali tafafhali
1. Kwamtu ambaye sio fundi wala programa inawezekana akamiliki website au blog? Kma inawezekana uendeshwaji wake niinakuaje
2. Nimalipo kias gani inahitajika kulipa kwaserikal?
3.inaweza kunigarimu kias gani kupata website iliokamilika kabisa ambayo itajihusisha nautoaji elimu fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa.....
Gharama zinategemea Aina ya website unayohitaji
Huwa Zina range from 50,000-500,000
Nicheck 0623391590 Kama upo interested

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njee ya mada kidogo, naomba kuuliza hiii kauli naipata kila nikiingia jf ina maana gani " java script is disabled,for better performance please enable JavaScript in your browser"

JavaScript ni kitu gani kwenye hii webpage?
 
Mimi Ushauri ni 1 Kama huna Tengeneza mwenye Acha na Tafuta Mtaalamu atakusaidia maana mawazo yanayotolewa humu Huwezi kuyafanyia kazi
 
Subri wanakuja
 
Mimi Ushauri ni 1 Kama huna Tengeneza mwenye Acha na Tafuta Mtaalamu atakusaidia maana mawazo yanayotolewa humu Huwezi kuyafanyia kazi

Saivi iko poa mkuu nimekuwa nikirekebisha mambo kila leo na saiv nmekiwa na experience kiasi naweka kama ajira
 
Njee ya mada kidogo, naomba kuuliza hiii kauli naipata kila nikiingia jf ina maana gani " java script is disabled,for better performance please enable JavaScript in your browser"

JavaScript ni kitu gani kwenye hii webpage?

JavaScript ndo kitu kinachotegemewa na website ya jamiiforums hivyo ikiwa allowed utaona matumizi ya kiolesura yanavutia zaidi mfano utaona menu, utaona Avatar zikiwa zinaeleweka n.k

Hivyo ili kusolve tatizo lako Kama unatumia chrome ya Android nenda setting>site setting then scroll mpaka ufikie neno JavaScript bofya na Kisha turn on JavaScript iwe na neno allowed.

Basi issue itakuwa poa
 
Saivi iko poa mkuu nimekuwa nikirekebisha mambo kila leo na saiv nmekiwa na experience kiasi naweka kama ajira
ndugo yaani umefanikiwa kuirekebisha kwa 10% tu yaani bado ndio maana nimesema bora tu umpe mtu anae weza maana usauri uliotolewa huku hakuna hata moja lililofanyiwa kazi 100%
 
Unaweza kusema wap mambo hayako sawa mkuu maana kila mtu alikuwa anasema lake
 
Design is looking very bad,njoo nikusaidie kazi

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Mkuu,

Wengi mnapokosea ni kudhani website ni functionality tu na mnasahau kuwa ni point ya kujibrand....

Nimengalia website yako haipo user friendly (si rahisi kutumika na mtumiaji). Nimeangalia muonekano wake yaani itamuwia mtumiaji kujua inahusu nini na vipi ataitumia.

Design yake sio nzuri.
Arrangement yake haipo sawa na hapa ningeomba uangalie website nyinginezo ambazo zinafanya vitu kama vyako ili upate hint za muonekano stahiki wa website yako

Quality ya picha si nzuri.. inaonekana unachukua picha bila kujali dimensions zake na kufanya zionekane ndogo au kubwa kitu ambacho kinaharibu muonekano wake.

Unless unafanya kama kujifunza, ni kheri ukatafute mtu wa kukutengenezea kwa bei ndogo maana naona hosting unayo. Hata JF pekua threads utawakuta.
Nipo tayari kumsaidia ,atoe maji kidogo

Back
Top Bottom